Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamani namfollow huyu bidada insta , Ila siku hizi anaboa na post zake za ulimbukeni na wazungu wake , mpaka mda mwingine natamani kabisa kum unfollow sema na Mimi kupenda umbea sasa mxieew ...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Tuwasaidie vijana wetu kusimama upya tusiwa tunahukumu na kulamu tu angalia ngoma mpya ya lord eyes.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndio, ndo ukweli. Wameachana miezi mitano na katika kipindi hicho huwezi jua kama diamond alikuwa anatumia kinga au lah, kwanza nashangaa kwanini masuperstaa wanapiga gemu mara kwa mara tena bila...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Hakika wasanii wa Tanzania wanashangaza sana baada ya vyombo vya habari kutangaza kuwa msanii hawa anaumwa na anahitaji matibabu nje ya nchi niliamini wasanii wangejitokeza kwa wingi kumsaidia...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi na uanaume wangu huu lakini serikali ya jiwe naiogopa kama nini Naogopa kusema chochote Lakini huyu ney wamitego hasikii naona bado anamsimamo, wasanii wote wameufyata Kuna bwana mdogo...
9 Reactions
48 Replies
9K Views
Ana mbwembwe Sana uyu bwana,utashangaa sio leo wala kesho but let's wait,keep on searching.mimi niko milimani sijui mjini Kama kishanuka.
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Aiseh mpaka sijaamini, nimeona video insta gigy akimwaga kingee, yan nikashangaa utadhan sio yeye , gigy anajifanyaga chizi but kichwani kidogo zimo, japokua anachanganya tense but she is so...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamaa walikuja kwa kasi sana walivyotoka jela,this time siwaskii tena licha ya ile ngoma yao "Waambie" kuwa nzuri mnoo iliyoshiba meseji ya Matumaini kuonyesha ujio wao mpya nje ya maisha ya jela...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Haya mambo anayofanya Diamond mitandaoni , hata wadogo zake akina young na dogo janja hawafanyi hivyo , diamond is no longer in experimental phase , kashafanya upuuzi wote, umri umeenda now , he...
17 Reactions
104 Replies
14K Views
RadarOnline Imeripoti kuwa Beyonce na Jay-Z hawana mpango tena wa kurudisha mahusiano bora kati yao na familia ya Kanye West na Kim Kardashian. - Jay Z ,48, na Beyonce ,37, ambao wametajwa kutaka...
2 Reactions
85 Replies
9K Views
Katika pitapita nikakuta blog ya Sammisago akiwa ameandika hii story =============================== Suge Knight asema hana imani kuwa 2 Pac amekufa Share Habari Na Marafiki Zake Kwenye...
1 Reactions
58 Replies
16K Views
Ila mume wangu nae anapenda sifa kama shemej yangu diamond 🤣🤣, sasa jamani Gari si ulipewa jipya au ndo ilikua scraper ? , hayo marekebisho ya Nini? , na utuonyeshe kadi kwa kweli , usije ukawa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu naitwa Marathon Muziki msanii chipukizi Tanzania.Naomba Watanzania wenzangu mnipe maoni yenu kupitia kazi yangu hii mpya please naomba maoni yako bila kusaau kunifollow...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Muziki wa singeli umeshika sana wakati huu hasa mikoa ya Pwani, na mikoani kila mtu alitaka kujua ni muziki wa aina gani, si kwamba haukuwepo zamani ila jitihada za Efm zilichangia ushike hatamu...
12 Reactions
48 Replies
10K Views
Dj Mafuvu the tantable master, Nimemsikia leo kuanzia alfajiri saa 11 akiamsha kwa ngoma kali, ila nilimsikiliza awali kama majuma kadhaa yaliyopita kwenye XXL, Nikajiuliza ni shamra shamra tu za...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Kama ilivyo mada hapo juu. Mm sio msanii na sio mpenz wa sanaa lakin ni mshabiki Mtakubaliana na mm kuwa, tangu kuanzishwa kwa bongo starsearch waliofanikiwa,wengi mfano harmonize, walishindwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Toa comment yako ulichogundua kwenye hii picha [emoji120] [emoji120]
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Sumbula ni Character iliyojipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa watazamaji wa tamthilia ya Sultan nchini tanzania. Tamthilia hii huonyeshwa kwenye King'amuzi cha AzamTv kupitia chaneli yao ya...
5 Reactions
81 Replies
25K Views
Naona katika ukurasa wake wa Insta amepost akiwa amepakatwa na mwanaume aliyemficha sura.
2 Reactions
68 Replies
8K Views
Back
Top Bottom