Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

PENZI LA LINAH NA PANCHO LAFICHUKA Kwa tetesi zilizotapakaa jijini Dar kuwa mtayarishaji maarufu wa muziki Pacho Latino toka B-hits anatoka na mwanadada linah na...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Msanii huyo anapotea kwa kasi sana kwenye anga la muziki. Kwa miaka miwili lawama juu ya udhaifu wake walitupiwa Wasafi. Ni muda tangu ajitenge na mafanikio na kuwa peke yake. Tatizo lake huyo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Inaweza kuwa sio Wahindi-Watanzania wote wana mapenzi ya kweli na Tanzania. Lakini bila ya shaka kuna baadhi yao ni wazalendo kutushinda waasili wenyewe. Kweli kuna sababu ya kuwa na wasiwasi na...
0 Reactions
95 Replies
16K Views
Staa wa Pop Selena Gomez '26' amelazwa kwenye hospitali ya wagonjwa wa akili baada ya kupata matatizo ya AKILI Na Msongo Wa Mawazo. Selena alilazwa hospitalini mara mbili wiki mbili zilizopita...
9 Reactions
117 Replies
11K Views
Majina ya nyota hawa wawili wa hollywood yananifanya niwaze kwa sauti kutokana na kuwa na uhusiano na lugha ya kiswahili Michael B Jordan ambae jina lake limekuwa likifananishwa na mcheza...
5 Reactions
101 Replies
12K Views
MWAKA 2007 (miaka 11 iliyopita), nilisoma jarida la Forbes. Mahojiano mazuri na tajiri mwenye mawe mengi, Warren Buffett. Kipindi hicho, Buffett alikuwa tajiri namba mbili duniani, nyuma ya Bill...
5 Reactions
30 Replies
6K Views
habari wadau. nimejifunza kitu kikubwa sana kwa diamond.. ambapo ni kuwa muajiri mzuri.. diamond japo hana elimu kubwa kama waajiri wengi.. ila anajua kuishi na wafanyakazi wake.. ndio maana...
2 Reactions
76 Replies
17K Views
Kama akikujibu hajui lolote basi mwambie aanze Kulifuatilia kwa umakini wake wote kwani lina ujumbe na msaada muhimu sana Kwake na hasa hasa akiwa ni Msanii. Nawasilisha.
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Kiuno kidogo cha Ali Kiba chashindwa kuvaa Pensi ya Pepe Kale, aufuta wimbo wake mpya Youtube. Ali Kiba aliachia wimbo huo usiku wa kuamkia leo Jumatano hii baada ya kukaa muda mrefu bila kuachia...
0 Reactions
45 Replies
14K Views
Beef la Eminem na Machine Gun Kelly (MGK) lilianzaje Mwaka 2012 MGK alicomment kwenye picha ya mtoto wa kike wa Em (Hailie) aliyopost kwenye social media kuwa “she is hot as f*ck”.Hii comment...
9 Reactions
41 Replies
7K Views
Mchezaji wa mpira ambaye pia ni mdhamini wa timu ya Coastal Union Ali Kiba hatimaye aanza kujirekebisha baadhi ya mapungufu yake. Mwanzoni huyu jamaa alikuwa hapost kabisa suala la msiba wa...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Mdogowangu Vanessa umeamua kutoka Kihindi zaidi Lakini sa huu wimbo hatuuelewi jamaa Hatujui umesifia au umetutukana Either way it's a slow nice song Sa kwa wale tuliozoea kugegedwa kwa...
3 Reactions
68 Replies
12K Views
Hitaji kuu la binadamu yoyote katika kuhangaika kote ni kutafuta mafanikio....mafanikio katika maisha ni muhimu sana Kifedha Kielimu Ustawi Uongozi Familia na umaarufu Safari ya mafanikio huanza...
19 Reactions
84 Replies
9K Views
Jamaa katurudisha bongo fleva ya zamani ....nimehisi nipo enzi hizo. Heshima kwa Whozu, ngoma imetulia ubunifu mkubwa, inavutia kuusikiliza zaidi na zaidi....
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Navy Kenzo hawana budi kumshukuru sana tena zaidi ya sana Diamond Platnumz kwa kuwapandisha kwa kiasi kikubwa kimuziki. Tangu watoe wimbo wa KATIKA waliomshirikisha Diamond, Navy Kenzo...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
Majizo kapost video kwenye ukurasa wake wa instagram ikumuonesha akimvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Elizabeth Michael aka Lulu. Hongera zao, naona harusi inanukia. Wapendanao
15 Reactions
301 Replies
50K Views
Jamani , nilivyosikia party ya Diamond kiingilio dollar mia tano, wacha pressure inipande warumi Mimi , nikajua itakua party ya kufa mtu , nikategemea kuona party itakua level ya kistaa kama...
17 Reactions
71 Replies
10K Views
Ni jana wakitokea kisiwa cha Mbudya kurudi Jangwani Sea Breeze kwa mujibu wa maelezo yake kufika katikati boti ikazima na ikaanza kuingiza maji na taratibu ikaanza kwenda chini bahati nzuri...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda. Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo...
9 Reactions
112 Replies
16K Views
Back
Top Bottom