Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii Diamond Platnumz ambaye anasheherekea siku ya kuzaliwa kwake Uko kwao Tandale.Mambo yamekuwa si mambo Wageni walikwa mbalimbali wamealikwa ikiwemo Haji manara Vanesa Mdee Reginald Mengi...
7 Reactions
52 Replies
10K Views
Salute.. Kwa wale vijana wa zamani, mnzikumbuka muvi za wakongwe wakali wa kung fu kutoka China. Enzi hizo miaka ya 70 Hongkong ndio kulikua Na solo LA filamu huku muvi karibia zote zikitengenezwa...
10 Reactions
36 Replies
10K Views
Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewaahidi mambo yafuatayo wakazi wa Tandale (mahali alipozaliwa na kukulia)... 1...
10 Reactions
70 Replies
11K Views
Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star Wema Sepetu inayotarajiwa kufungwa hivi karibuni. Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu...
1 Reactions
363 Replies
52K Views
Leo Sina mood kabisa naombeni mnitajie movie Kali za ki inteligensia nizitafute ni watch this weekend
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina mdau wangu mmoja yeye ni shabiki mkubwa wa bwana kiba ila kakata tamaa kabisa kwa sasa.. Mtazamo wangu kwa bwana kiba ni kwamba.... Nyimbo aliyotoa na kundi lake ni ya kawaida, ci ya kuimba...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Kendrick Lamar, Tarehe 25.06.2018, ndani ya jengo la burudani la L.A Live, lililotulia pale kwenye Mtaa wa South Park, Downtown, Los Angeles nchini Marekani, kituo maarufu cha televisheni...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwanahabari wa TBC1 Mbozi Katala amesema kwamba Diamond Platnumz alikuwa na maisha magumu sana hapo mwanzo maana kuna siku aliwahi kwenda TBC1 na kumwomba poda. Ameongeza kuwa siku hiyo hakuingia...
5 Reactions
31 Replies
11K Views
Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni ufahari mtu kununua kitu chochote kile kilichotumiwa au kumilikiwa na mtu maarufu ama mashuhuri kwa bei kubwa sana na kuhifadhi kwenye majumba yao. Lakini ni...
7 Reactions
57 Replies
5K Views
Akiwa anamtakia birthday mond
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Waungwana karibuni kwa maoni yenu. Ni matumaini yangu nyimbo zote mbili mmeshazisikia sasa ni wakati kutoa maoni yenu je ni wimbo upi umekubamba zaidi kati ya Hamissa Mobetto "madam hero" na wimbo...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Mmh hilo jumba la diamond alilopost huko insta ni balaa, hamisa alikua Ana haki ya kuroga aiseh🤣🤣, hongera bwana chibu, halafu nilisahau kukuwish na Mimi , HAPPY BIRTHDAY...
8 Reactions
177 Replies
36K Views
Unakumbuka Video ya Nitarejea ya Diamond? Basi yule msichana aliyeshirikiana naye katika huo wimbo hali yake si nzuri kisanii na kimaslahi pia kisa cha kusema kuwa anauchukia huo wimbo kwani...
7 Reactions
97 Replies
35K Views
Wakati wa The Jackson Five Jamii iliwapokea na kuwakubali kama kundi la Muziki lililosheheni vipaji. Baadae ilibainika kuwa Michael Jackson alikuwa na kipaji maalum kuliko wenzake, na tena haikuwa...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habarini zenu. Msanii Ali Kiba anatarajia kudondosha nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la HELA itakayo anguka muda wowote kuanzia sasa Huko mitandao ya kijamii imefulika na kuwa na shauku...
2 Reactions
64 Replies
24K Views
Sina uzoefu na kupost humu ndani ila hii kitu imenishangaza. Nilikuwa naangalia Enews mahojiano ya "Y Tone" kuwa kuna picha yake inasambaa amevaa shanga kiunoni kwa jinsi anavyojibu ni kuwa Mara...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Jana nilikuwa buzy kinyama kumfanyia Mama yangu Birthday Yes nimesharudi Tz So nikatonywa kwa Sepenga nae Anabirthday siku ya jana Wow WEMA na My Mom wanashare same Birthday Happy Belated...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Watanzania wakikutolea uvivuu kwenye mitandao ya kijamii utakubali show tuu.. Alikiba Katoa wimboo mbovu Sana ambao Audio yake aliitoa zamani now kafanya Video.. Kiukweli Nyimbo ni Mbovuuu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona...
4 Reactions
89 Replies
16K Views
Back
Top Bottom