Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

There is a saying that , show me your friend , and I will tell you who you are , Msemo huu umekua ndivyo sivyo kwa hawa marafiki wa muda mrefu, namzugumzia mtangazaji na mjasiriamali Zamaradi...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Mungu ambariki mtoto wa Tandale, matibabu mema Hawa niko namshughurikia now kwenda india kutibiwa... ila sikutaka kutangaza coz staki watu wachukulie msaada wangu ni kiki...but kwakuwa maswali...
7 Reactions
32 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa kauli yake juu ya mvutano unaoendelea kati ya Wema Sepetu na team Hamisa Mobetto juu ya jina la TZ Sweetheart. Mkuu huyo alikuwa mmmoja kati ya...
2 Reactions
134 Replies
13K Views
nicwe mnafki hili pini lenye ladha ya "Gospel ya kutia moyo", Dogo janja kachanja mle mle kiukweli, Kaimba kwa hisia za kweli kabisa zinazotokana na wakati mgumu anaoupitia kwenye maisha yake...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
yule mkongwe wa mziki wa kizazi kipya ambae pia ni mbunge wa mikumi.. ameachia bonge la video.. kwenye wimbo wake wa vunja mifupa .ee bwana eeeh huyu mshikaji hajawai kukosea.. pamoja na majukumu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Tusipoteze muda wote tunajua kuwa hakuna taasisi rasmi ya serikali iliyosajili rasmi jina la TZ Sweetheart kutumika kwa mtu Fulani Je tunaliongeleaje hili kwa pande na pembe zote kwa...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Ushindani lazima ili mambo yawe sawa katika tasnia hii ya mziki.But hongera yao wote.Aslay na Mboso japokuwa wametoka group moja,Now mmoja WCB mwingine Clouds. But maisha yanaenda.
1 Reactions
27 Replies
15K Views
Fiesta ndio tayari imeshatangazwa, na mwaka huu haitakuwa tena na msanii wa nje. Ukiangalia trend ya mwaka mzima. Unatabiri msanii gani atakuwa kivutio kwenye fiesta ya mwaka huu? Mimi...
0 Reactions
108 Replies
14K Views
Ndugu wanajamii forums kwa upepo ninavyouona hawa wamiliki wa clouds watamuomba msamaha diamond maana wananchi wanawaona wanafiki hata kama wanafanya kitu cha maana hii ni kutokana na mabifu yao...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna watu wamekuwa wakibeza tamasha la fiesta ambalo linaenda kuzinduliwa hapo kesho pale mjini Morogoro kwa kuangalia kigezo cha wasanii waliopo kwenye list... Kwa kifupi hawa jamaa promo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu kaka hapana aiseehh!!naona kwa sasa anajaribu kumpaisha Irene aka officiallyn ili aje kulingana na wanawake waliopita kwake na mama watoto zake... Siku za hivi karibuni amekua na mahusiano...
21 Reactions
94 Replies
14K Views
Mrembo kutoka kiwanda Cha bongo movies Wema Sepetu maarufu kama Tanzania sweetheart Leo anatimiza miaka 28 huku akizindua filamu yake mpya iitwayo D.O.D aliyomshirikisha msanii maarufu kutoka...
3 Reactions
57 Replies
9K Views
Hawa ndo wasanii watakao zindua rasmi msimu was fiesta 2018 jumamosi hii uwanja was jamuhuri kea kiingilio Cha 7000 Belle9 Fid Q Nandy Jolie Malkia Karen Whozu Mr blue Jaymolody Janjaro Z anto...
6 Reactions
92 Replies
13K Views
Akihojiwa katika kituo cha radio citizen nchini Kenya mrembo kutoka Tanzania hamisa Mobeto anasema alikuwa anajua Kama Diamond yupo na Zari na alikubali kufanya mahusiano yake na Diamond yawe ya...
0 Reactions
148 Replies
16K Views
Nilidhani akirudi kwenye utangazaji atambwera atakuwa outdated kumbe bado youko sawa anaweza rudi akashika nafasi yake maana naona kaungana leo na wenzake kwenye XXL chemistry iko sawa.
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa maoni yangu huyu jamaa ndio presenter bora kabisa kwa sasa among presenters wanao fanya vipindi vya entertainment anaijua sana kazi yake and he.likes what he is doing. Bro Lil Ommy Tanzania...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
SOMA EPISODE 2, POST # 282 SOMA EPISODE 3, POST # 655 SOMA EPISODE 4, POST # 852 SOMA EPISODE 5, POST # 1115 SOMA EPISODE 6, POST # 1656 SOMA EPISODE 7, POST # 1773 SOMA EPISODE 8, POST...
48 Reactions
492 Replies
50K Views
Habari wakuu. Nilikua napitia mkasa wa wa Lady Jay Dee kutaka kujiua nikaguswa sana na maneno aliyoandika pamoja na post ya member mwenzetu Watu8 Nini kinasababisha Lady Jay dee atake kujiua...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Siku si nyingi niliandika kuhusiana na kipaji cha LilOmmy nadhan macho yangu yalikuwa sawa na wengine hatimae muda umezungumza, na leo The Playlist ni kipindi chake cha mwisho baada ya hapo...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Hawa jamaa kwa kufanya promo hakuna anaye wafikia, kwa upande wa redio ni wabunifu sana sana. Mfano walianzisha mtindo flani ambapo wanafanya matangazo kama vile wanapiga story mtu asipokuwa...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom