Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Sijui tatizo nini wadada wa mjini bongo wanalo...aiseehhh!!hata mtu unaemuona wa maana nae anakua mswahili mswahili kuendeleza vitaa.. Ishu ilianza miss Tanzania baada ya wolper kuliponda...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
MAPENZI ni kikohozi kukificha huwezi! Na siku zote unapopenda unaweza kufanya lolote ili tu umfurahishe yule uliyenaye aone tu thamani yako au umuhimu wa kuwa na wewe. Kwenye mapenzi kuna...
0 Reactions
8 Replies
40K Views
Ndugu, jamaaa na marafiki pamoja na wadau mbalimbali wa huu mziki wa bongo fleva nnawaomba tusaidizane kulichambua hili game la bongo fleva. Mtazamo wangu: game la bongo fleva linazidi kuwa gumu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
MWANAMUZIKI ambaye alishirikishwa kwenye Wimbo wa Nitarejea ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hawa Said hali yake imezidi kuwa mbaya baada ya kulazwa katika Hospitali...
5 Reactions
107 Replies
20K Views
Hawa majamaa wamefanana sana kama ndugu vile. Letita wright ni Actress kwenye muvi ya Black panther as Shuri, Dada ake T'chala Tulia Ackson naibu spika wa Subwoofer la Tzania pale dom.. Letita...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Mahakama ya Pennsylvania nchini Marekani imemshushia mvua ya kifungo cha kati ya miaka mitatu hadi kumi, mchekeshaji Bill Cosby mwenye umri wa mika 81, baada ya kumkuta na hatia ya kufanya...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Daah!!! Aisee huyu jamaa anajua good music... Namuelewa sana toka 'haya' mpaka huku anapoelekea. Nsingependa kuongea sana wadau ningeomba mtafute mzigo wake mpya unaitwa 'kiss and love' ni hatari...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Yani Mdogowangu ungeanzaga hii shughuli miaka ya 2000 ungekuwa mbali kinyama Ila usijali haujachelewa Tunamshukuru sana Mheshimiwa Raisi kwa Kauli Mbiu yake ya hapa kazi tu.. naona vijana...
6 Reactions
180 Replies
17K Views
Wakuu, Ni muda sijamsikia mkali DJ Steve B ambaye binafsi naamini baada ya kizazi cha akina DJ John Dilinga na DJ Bonilove hakuna anayemfikia. Bongo tumekuwa na tatizo la DJs wanaojua muziki...
7 Reactions
21 Replies
6K Views
Niseme wazi mimi ni mpenzi wa kusikiliza TBC taifa radio,hasa vipindi vyao vya Pwagu na pwaguzi(kinarushwa kila siku ya j3 hadi ijumaa saa 11:45 jioni) na kile cha TUNZA IKUTUNZE(Kinarushwa kila...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakati Lemutuz akiwa anamalizia free trial ya mwezi mmoja kutoka gym fulani (jina kapuni),madaktari kadhaa wamecharuka na aina ya upigaji wake wa mazoezi na kudai mambo na mazoezi anayofanya si...
39 Reactions
79 Replies
11K Views
Picha zote tatu3 ni Rihanna akiwa nchini malawi mwezi uliopita, Hakujali umarufu wake wala uzuri alio nao, alichofanya ni kuyakabiri majukumu ya muda huo kulingana na mazingira, Alibeba ndoo...
14 Reactions
52 Replies
8K Views
Muigizaji wa filamu na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Faiza Omary maarufu kama Sister Fey yupo chini ya ulinzi kufuatia tabia yake ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii. Taarifa hiyo...
3 Reactions
58 Replies
10K Views
Hili bifu la clouds fm na WCB kiasi fulani linanishangaza na linanipa maswali kibao...... But nakumbuka jinsi TID enzi zake anajiita 'TOP IN DAR' alivyowavimbia clouds hadi siku ile anaitisha...
25 Reactions
221 Replies
34K Views
Ni mda sasa sijamsikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge na sasa ni msimu wa Fiesta,si kawaida msimu wa Fiesta kuanza bila kusikia neno toka kwa uyu jamaa.Kwa anaejua au fununu atujuze
0 Reactions
32 Replies
6K Views
[Rick Ross] Tupac and Juice riding [?] on the loose King James round my neck, haters wish it was a noose Long Maybach and I wish it was a coupe Kush out the jar, car smellin' like duke...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Uwa nikisikiliza nyimbo za huyu jamaa uandishi wake uwa unaweza kuwa na tafsiri nyingi kadri msikilizaji anavyo weza kutafsiri. Leo nimesikiliza tena huu wimbo jamaa yani kaongelea mambo mengi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Soudy Brown, Maua Sama na Meneja wake(Fadhili Kondo) waachiwa kwa dhamana ya Polisi usiku huu Watakiwa kuripoti Kituo cha Kati (Central Police) cha jijini Dar walipokuwa wanashikiliwa kesho saa 4...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwanamke huyu mpole,mwenye maadili ya Kisukuma na mfanyabiashara ambae ni mmiliki wa Nyumbani Pub iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga ni mlimbwende wa haja na ukiiutana nae utafurahia Kwa...
3 Reactions
69 Replies
15K Views
Back
Top Bottom