Ni Marc Dizzo,mchizi w da Skendo miaka ile ya 2000s,jamaa alikuwa anajua sana sema na yeye ndo dizaini ya Kina Jay Mo wakali sana ila nyota hawana..
Dizzo alikuwa member wa Dudu Baya,"Da Skendo"...
Wadau huu mwaka tutashuhudia positive music battle kati ya Fiesta na WasafiFestival kwa upande wangu hii battle naichukulia positive kwa ukuaji wa muziki wetu kwa sababu kama mtoto wa juzi diamond...
Muimbaji Shilole amezungumza na Ayo TV pamoja na millardayo.com ambapo amesema kuwa anatamani sana siku moja kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Igunga mahali ambapo ndipo alipotokea, Shishi amesema...
Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za Bongo wa Fleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna...
Ameyasema hayo wakati akihojiwa na EATV. Kasema kila shindano alikuwa anashinda, na siri ya Ushindi ni Maomba ya Baba mchungaji wake wa Kiroho.
"Mimi naishi magotini mwa bwana".
Baada ya...
Msanii wa kibongo anayechipukia aitwae Davista, ameomba kwa mtu yeyte mwenye connection na msanii Tekno aweze kumfanyia mchakato akutane nae kwa maana anaamini kutokana na kufanana kwao kwa kiasi...
Binafsi naiheshimu sana sanaa kwani ni ubunifu ambao mtu anajigundua nao kisha anautumia kwa kujitafutia ridhiki huyu mchekeshaji maarufu kama MC pili pili nimemuona kwenye video moja inayozunguka...
Msanii diamond platnumz ni moja ya wasanii wenye mafanikio sana katika medani ya muziki Tanzania na Afrika kiujumla... safari yake kimziki ilianza miaka tisa iliyopita (2009) baada ya kutoa wimbo...
Habari.
Jana nimesikiliza kipindi cha Ala za Roho ambacho kinaendeshwa na Diva wa Clouds FM. Pamoja na yote aliyoyandaa lakini nilijiuliza sana kwa kile anachokiita Diva Charity kwa maana ya...
wadau bila kupepesa , huu mwaka harmonize ndiye kafanya kazi zilizotrend, ukipita mikoani unagundua harmonize ana fanbase almost sawa na diamond, inawezekana ndiye mrithi wa diamond,
Yamoto band ni kundi lililotikisa sana miaka michache ya nyuma hapa bongo... liliundwa na vijana machachari wenye mashairi pendwa kwa rika zote. Baada ya hilo kundi kuvunjika kila msanii alianza...
Woyoooo niaje?!
Nigerians once again wametisher
movie ya Kwanzaa Africa kuingia Netflix imetokea Nigeria inaitwa Lion Heart
Jamaica Bongo Movie tutaingia Netflix lini? !
Roho inaniumaje? !
wapi...
Kuna mambo nayasikia Sana kuhusu mateja wanaokula unga.kwamba Hawa mateja waliochoka wachafu wanakula unga mchafu.Lakini wapo wenye hela zao wengi tu wanakula unga.
Research yangu fupi nikaifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.