Habari zenu wakuu!
Nimefikiria kitu kuhusu huyu jamaa, katika tasnia ya mziki hapa Tanzania! Huyu jamaa yupo vizuri, ukisikiliza nyimbo zake kuna tungo nzuri kwa lugha yetu ya kiswahili fasaha...
Baada ya tuhuma nzito ya kutelekeza mtoto Munah Love ameamua kumfuata Mwanae BRYAN akiwa ameambatana na Masanja!
Hii imekuja baada ya mwanadada huyo kushambuliwa na mashabiki zake kuwa...
Simba au dangote wa miaka mitatu iliyopita sio huyu wa sasa nadiriki kusema kageuka paka sio simba tena.
Simba wa zamani ilikuwa ni ngumu kumkuta bongo ratiba yake ilikuwa booked almost the whole...
Bondia Floyd Joy Money Mayweather amethibitisha kurudi ulingoni desemba mwaka huu kuzichapa kwa mara ya pili na Manny Pacquiao.
Katika pambano la mara ya kwanza Floyd aliibuka mshindi kwa...
Jamani naomba kuuliza, kuna yule jamaa aliyekua ni mtangazaji wa Redio 1 kipindi cha nyuma kwa jina Misanya Bingi hivi kaendaga wapi? kuna mtu anataarifa zake nikazipata? Asanteni.
Asubuhi unasema "...hilo lilitarajiwa " kuhusu ushindi wa CCM.
Sidhani kama maadili yako ya kazi yanakuruhusu kuonyesha unazi hadharani kwenye media yenye diversity of audience. Rejea maadili...
Msanii aliyekuwepo kundi la wakali kwanza aliyekuwa anafahamika kwa jina la QJay ameingia kwenye wimbi la madawa y kulevya.
Q Jay amekuwa mlevi kupindukia na anatumia madawa ya kulevya.
Uteja...
Wakati Diamond alivokuwa anatoka kimziki alikuwa ana uhitaji wa dancers lakini nyimbo zake za siku hizi hahitaji tena dancers mfano nyimbo alizotoa hivi karibuni, dah wanahuzunisha kweli ata trip...
Mpoki ni mchekeshaji mzuri na kwa kweli ana kipaji au karama ya kazi hiyo.
Ametuchekesha na kuyuelimisha muda mrefu na jina lake lilivuma zaidi wakiwa original comedy pale EA Radio na kubwa lao...
MREMBO wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ametoa kali ya aina yake kuwa, katika maisha ya uhusiano, anafurahia kuwa na mwanaume ambaye atampa kipigo kidogo pale anapokosea. Mwanadada huyo...
Wnajamvi mada hapo juu yakukumbusha kama sio mdogo sana kiumri. ITV na Radio One walikuwa na WATANGAZAJI hapo juu. Sijui wapo wapi hivi sasa na wanafanya mini? Mwenye kujua tushirikishane...
Kazi kweli mjini hapa zimevuja voice notes za Hamisa akiongea na mganga amroge Diamond na wazazi wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kwa akili yangu fupi sauti sio kabisaa ya...
Habari wakuu,
Mi mgeni humu naomba nizungumze kitu.....
First naomba niweke wazi kuwa huyu jamaa hajawahi kunichekesha hata siku moja. Nilitabasamu kiduuuuuchu ile clip ya remy ongala...
Kwanza sijajua hili kundi lipo au limekufa na kama limekufa ni sababu gani zimeliuwa kundi hili lililojizolea umaarufu mkubwa nchini tanzania
Kingine ni maisha ya wale comedian wengine wako wapi...
Aslay amefanya vizuri mwaka huu ndio maana ukisikiliza muziki wake mzuri kwenye YouTube utanielewa. Aslay yupo na sauti nzuri ya kuimba kama ya king kiba. Ukilinganisha na wasanii wafutao
Jux...
Huyu mtu muhimu sana kwenye siasa za ukombozi wa nchi hii leo anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe , kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila nikishindwa kumpongeza shujaa huyu wa Taifa , ambaye...
Huyu jamaa anaitwa Madebe Lidai au ukipenda muite nabii mswahili.
Jamaa amejizolea umaarufu kwa aina ya uigizaji wake kwa kutumia vijimisemo vyake vya kiswahili swahili na ameigiza filamu nyingi...
Katika maisha kuna hatua nyingi sana sisi binadamu tunapitia na kila mmoja ana namna au mbinu yake katika kuyafikia mafanikio. Kwa mukhutadha huo nakwenda moja kwa moja kwenye mada hasa hii fani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.