Keffe D (mjomba wa Orlando Anderson) alikiri kila kitu, aliweka wazi hatua kwa hatua kilichotokea Las Vegas usiku wa tarehe 7 Septemba 1996.Hapa kuna kilichotokea:
Tupac, Suge Knight na marafiki...
Huyu Masai Hana muda sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4 .
Diamond, Millard, Wema, Shilole na wengine...
Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo...
Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo...
Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana...
Habari zenu wanajamvi.
Lunch mmepata?
Leo nilikuwa nipo Youtube natazama kipindi cha Salama Na Madam Ritha.
Kuna sehemu moja ya mahojiano hayo, Madam Ritha kipindi anajibu swali la mtangazaji...
Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa.
Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana...
Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake...
Mwigizaji na Mwanamuziki, Selena Gomez (32) ameingia katika orodha ya ‘Self made’ Bilionea Septemba 6, 2024
Kulingana na taarifa ya mtandao wa Bloomberg imesema kuwa Selena ana utajiri wa Tsh...
Who is Adele?
Jina: Adele Laurie Blue Adkins
Tarehe ya Kuzaliwa: Mei 5, 1988
Idadi ya Albamu: 4
Tuzo za Grammy: 16
Mafanikio ya Nyimbo: Adele ameingiza nyimbo 19 kwenye U.K. Top 75 na nyimbo...
Tokugawa Shogunate...
Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT.
Binafsi nimeitazama hii series nakubali...
Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa...
Habari za asubuhi wakuu.
Siku ya jana, Mzee Wa Upako yaani Mchungaji Anthony Lusekelo alitengeneza headlines nchini kufuatia interview alyofanya na Jambo TV Online ambapo alizungumzia upepo wa...
Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Davido, alipokuwa akipeana mkono na Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia, huko nchini Ufaransa alijigamba kwa kusema kuwa yeye pia ni mfalme wa Nigeria.
"Mimi...
Huyu jamaa ni gwiji la live gospel music. Vipi mbona hafanyi tena matamasha ya live recording, mwambieni arudi stejini.
Ushauri: afanye collaboration ya live recording na Krystals wale wa Canada...
Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda...
Salaam,Shalom!!
Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine...