Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Since this is none of my business, let me count from 1 to 1000...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Video ya utata kutoka kwa msanii mkubwa wa mziki huko marekani Rick Ross, amezua utata baada ya kusema kuwa amepokea zawadi ya jicho la tatu, nimemnukuu "mimi ni illuminate hata huyu ni illuminate...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Juma nature vs inspector haruni ECT vs wanaume family TID vs Dully sykes Matonya vs MB dog Marlaw vs Alikiba Saida karoli vs maua Diamond vs Belle 9 River camp vs N2N Zay B vs Sister P
1 Reactions
8 Replies
418 Views
Habari zenu, Nipo nasikiliza nyimbo za mwanamuziki kutokea nigeria "wizkid",ukiangalia jamaa anakubalika sana lakini mi naona kama diamond kamzidi jamaa vitu vingi sana,nkianza na uimbaji wake...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza. Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na...
16 Reactions
64 Replies
4K Views
Acheni roho mbaya bali semeni ukweli. Kwa Sasa Tanzania na East Africa hatuna msanii wa Maana kama Zuchu, bidada anajua kwa kweli sijui hawa wakina Nandy, Nadia Mukami na wasanii wengine wa kike...
1 Reactions
65 Replies
4K Views
Mwanamichezo maarufu, O.J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 kwa kansa. Simpson pamoja na michezo anakumbukwa kwa kesi ya mauaji ambapo alituhumiwa kumuua mkewe Nicole Brown(35)...
11 Reactions
82 Replies
5K Views
Ndoto ya Diamond kuwa Tajiri namba moja Duniani inazidi kuwa ngumu kila uchwao, Elon Musk anaendelea kuchanja Mbuga na sasaivi anaelekea kwenye Utrilionea. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
19 Reactions
82 Replies
4K Views
DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Mcheza filamu za ngono maarufu duniani Gizelle Blanco (miaka 23) aliyeoana mcheza ngono mwenzake Roman Nomar (miaka 48) july mwaka Jana amesema "Pamoja na furaha kubwa tuliyo nayo ndani ya ndoa...
35 Reactions
423 Replies
37K Views
Hatimaye tetesi zimekuwa kweli! Diva wa music Bongo Sukari, Zuchu anatoka na boss wake aliyemtoa kimuziki yaani Diamond Platnumz. Jana wamenaswa Hyatt Regency wakijiachia full mahaba kiss and...
34 Reactions
413 Replies
36K Views
Uko Instagram page moja ya kishilawadu imajaribu kumuhusisha mtoto tiffah na kichanga cha hamisa mobetto basi zari ikamfika hapa, basi povuuuu ziiiito limemtoka ni shida. Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
66 Replies
12K Views
MAREHEMU PABLO ( DAZ NUNDAZ) Marehemu msanii Pablo kwa ambae hamfahamu alichana katika wimbo wa daz baba, nipe tano, ukiitizama utamsikia akijitaja jina lake, kavaa t shirt ya mistari.pole kwa...
0 Reactions
8 Replies
755 Views
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na...
6 Reactions
145 Replies
28K Views
Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi. Msikilize...
2 Reactions
11 Replies
729 Views
Mwanamuziki Mkongwe wa kundi la Jackson 5 Tito Jackson (70) ambaye ni Kaka wa Marehemu Michael Jackson, amefariki dunia. Siku chache kabla ya kifo chake, aliposti ujumbe akiwa nchini Ujerumani...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ingredients 1.Dry Coconut 2.Tiger Nut 3.Dates 4.Banana Blend them together and extract the Juice 🧃 Refrigerate it and drink twice daily. Thank me later 🤝👌
1 Reactions
7 Replies
360 Views
Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu. Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi. Ukiingia...
10 Reactions
18 Replies
750 Views
Back
Top Bottom