Kampuni ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) imekata rufaa kupinga hukumu iliyoamuru iwalipe Sh2 bilioni wanamuziki wawili, Ambwene Yesaya na Hamisi Mwinjuma kutokana na kutumia bila ya ridhaa yao...
Rapa Sean Combs maarufu Diddy, ameripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum ili kumuepusha na uamuzi wa kujiua kutokana na kunyimwa dhamana baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa Utapeli, Usafirishaji...
WANYAMWEZI 15 WALIODONDOKA NCHINI KUUPA TAFU MUZIKI WETU.
Hawa hapa wasanii wa nje waliowahi kuja nchini ni kubwa mno, lakini leo tunapenda tuangalie japo wasanii mashuhuri tu kutoka nchini...
Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa.
Kwa sasa watanzania wote macho na masikio...
Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
Baada ya Mawakili wa Diddy kupinga uamuzi wa Mahakama ya Michigan kutoa uamuzi wa Diddy kumlipa Cardelo Smith $100 m kwa abuse aliyesema kufanyiwa na Diddy
Katika appeal ya Diddy, Hakimu...
Katika usawa huu wa waandishi machawa, waongelea masihara pasipo masihara, dhihaka palipo serious, kuimba nyimbo za sifa, kuogopa ku-balance habari, kurusha habari za udaku muda wote angali zinazo...
USHINDI WA JOHARI.
Muigizaji wa BongoMovie "Johari Chagula" ameshinda Tuzo 2 kwenye Tuzo za 'Music Video Awards 2024' (MVA Awards 2024) zilizofanyika nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo.
Tuzo...
Ni kweli kwamba kuna watu maarufu duniani, hata wana historia wanalifaham hilo. Wapo watu wengi maaruf mno kuliko hata 2pac lkn je kwann yeye kwenye t-shirt nk?
Moja ya matukio makubwa na ya pekee yalopata kutokea uwanja wa uhuru ambao enzi hizo uliitwa uwanja wa taifa Ni s tamasha la hayati Franco, mwamba wa muziki wa rhumba, katika tamasha hilo watu...
Watu wanaimba,wengine wana bana pua,wengine studio za kichina zinawashine suati zao...LAKINI..huyu jamaa... alikuwa mwanamziki kweli na kipaji kutoka kwa Mungu.Mfalme wa rhumba(Le grand...
Habari za chini ya kapet zinasema, mcheza filamu mwenye mvuto wa aina yake, Elizabeth Michael (lulu), amejifungua kwa operation katika hospital ya saifee, unaambia katika hospital hiyo kwa siku...
Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Judith Mwangi 'Avril' ambaye alicheza kama video queen kwenye wimbo wa Diamond Platnumz 'Kesho' amefunguka na kusema hakuwahi kutoka kimapenzi na Diamond...
Wakuu nasikia connection za pdiddy zipo hewani. Mwenye nazo tafadhali. Nasikia hata Chai Jaba kaonekana huko! Umaarufu kazi. Kuna baadhi mpaka wanatambaa?
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.
Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba...
Wakati muziki ndio unajitafuta kuna ma producer wengi walipambana sana kwa uchache
P funk
Master jay
amit mental
Said komorien
Roi
KGT
Mika mwamba
Jonnas
Complex
Mr ebo
Lamar
Dunga
Baucha
Bonny...
Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa...
HISTORIA FUPI YA MSANII SUMA " G" A.K .A SILAHA MANENO KIPAJI HALISI KUTOKA USWAHILINI...
Kiukweli mimi kama "suma G" katika industry ya Muziki wa Bongo fleva wimbo wangu wa kwanza...
Mwanamuziki Mkongwe na gwiji wa muziki katika miondoko ya Country, Mmarekani Kenny Rogers amefariki usiku wa kuamkia leo huko Sandy Springs, Georgia, Marekani
Familia yake imesema Rogers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.