Orodha ya wasanii na watu maarufu waliopita kwa Diddy imezidi kuwa ndefu sana, lakini katika wote hao bwana Mdogo Justine Bieber hadithi yake inasikitisha zaidi, na inaumiza pia.
Justin Bieber...
Mchezaji mstaafu na maarufu wa Basketball wa ligi NBA nchi Marekani Dikembe Mutombo amefariki leo akiwa na miaka 58. RIP the greatest shot blocker in NBA history.
==============
Basketball Hall...
Amefunguka da Christina...
"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa...
"P DIDDY" ni kama alijua kitakacho tokea.
Mali zote ziliandikwa kwa jina la #mama yake hakuna mali yake iliyo kwenye jina lake.
Mali zote ziko katika jina la mama yake na mtoto wake, hata...
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET...
Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea...
Mwanamuziki wa Marekani, P Diddy amekumbwa na makosa mengi ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo sexual trafficking. Aliwasaidia baadhi ya watu kwa yeye kujifaidisha kwanza.
Tuna watu hapa...
Huyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama...
Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii...
Muda mfupi uliopita zimesambaa picha na video kuhusu yaliyokuwa yanafanyika huko kwenye party za P Diddy!
Yaani kuna ibada na sala zilizokuwa zinafanyika, mazingira ya hizo ibada ndiyo utata...
Tajiri namba moja duniani Elon Musk hajaishia hapo kwenye kumiliki utajiri wa $269.8 billion amethibitisha kuwa anataka kuongeza zaidi na kuweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza ambaye ni...
Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu
Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali.
Pesa zangu...
Pamoja na kwamba umewekwa kwenye ile orodha ya "sisimizi' lakini hujakata Tamaa, Umeendelea kuwaelimisha Vijana wa Tanzania kwamba kumbe wao wanaweza kuishi bila kuwa Chawa wala bila kuwa ngazi ya...
Nipo njiani from tunduru nachapa gia , Dereva wangu anacheza nyimbo za hip hop ,
Kilichonishitua ni huyu msani anaitwa NACHA aisee Kila nyimbo yake anaimba vitu serious Sana,
Kwa wale...
SWALI mshangao ndani ya jumuiya ya Hip Hop ulimwenguni ni je, huu ni mwanzo wa safari ya jela ya bilionea P Diddy kwa mauaji ya Tupac Shakur?
Winston Churchill, Waziri Mkuu wa zamani wa UK...
Nimefurahi sana kusikia huyu hero wetu amerudi salama TZ,lakini nimeshangazwa namapokezi anayoyapata,vipi kuhusu kaka yetu Ivo Mapunda,wote si walienda kutupa ujiko wa Tz au ndio dereva husifiwa...
Tutawazungumzia kwa kigezo cha kipindi wakiwa kwenye ubora wao, Hata Tyson huwezi kumjudge ubora wake kwa sasa maana umri umeshaenda, hayupo active kama zamani.
1. DUDU BAYA
chuma kilichokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.