Diamond Platnumz alipokutana na Cloutas Chama na Kenedy Musonda katika uwanja wa ndege Julius Nyerere International Airport, ilikuwa ni tukio la kufurahisha, hususan kwa mashabiki wa soka na...
Msanii wa bongo Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy live ndani E tv
Billnas amemvisha Pete ya Uchumba Nandy ikiwa sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kesho tarehe 11/4.
John Amos, aliyekuwa nyota wa filamu nchini Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.
Amos ameaga dunia tarehe 21 Agosti huko Los Angeles. Msemaji wa Amos, Belinda Foster...
KAMA UNACHEZA NA MUNGUU NDUGU HIZI NDIZO ADHABU ZAKO KIFUPI NI ALBADILI YA KIKRISTO
Bwana asifiwe...... nakupa kwa uchache tu mistari ya Zaburi 109 kila anayepita njia yako anakutesa... usimjibu...
Jana Zuchi alirushiwa chupa na mawe jukwaani baada ya kusifia kizimkazi na kusema mitano tena
Wasanii jifunze ulienda jukwaani Simba achana na siasa
Kila mtu ana hisia tofauti kwenye siasa...
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu...
Annie Kilner ambaye ni mke wa beki wa kulia wa Manchester City, Kyle Walker anadai fidia ya pauni milioni 15 sawa na Bilioni 54,428,016,000 kwa pesa za Tanzania kama fidia ya yeye kukubali...
Wasalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa...
Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii...
Nmeona mdada anahojiwa crown media Jana anaitwa MALKIA cute je ANAFANYA KAZI Gani hapa mjini Hadi kuwa celeb kiasi Cha kuhojiwa redioni?
Mbona mda wote anajigeuza tuone makalio.
Mbona media za...
Take a break, na tujikumbushe enzi zile za RTD, ambapo kulikuwa hakuna FMs rado kama sasa. Hakika kulikuwa na watangazaji, vipindi bomba na hata nyimbo za kutambulisha vipindi zilikuwa makini...
KADA maarufu wa CCM mwenye views zaidi ya bilion 2.6 na Wafuasi million 9.2 Kwenye Mtandao wa You tube anasherehekea Siku ya Kuzaliwa kwake
Gazeti la Mwananchi
Watu hawaelewi kwamba kinachotokea sasa kwa Pdidy n nguvu ya Deep state na Illuminate. Wanakupa nguvu then wanachukua kukuonesha ukizingua tunachukua. Walianza na R kelly. Saizi wako na Pdidy...
Katika pita pita zangu nikaambiwa huo ndo mjengo wa shujaa wa football TZ a.k.a Mbwana Samatha.
Lakini jamaa anakipiga tu huko Belgium hana hata sifa za kukirusha kitu chake kipya baada ya...
Kikwete alipopolewa akiwa ziarani akitokea Chunya. Kuna safari alizuiwa barabarani Uyole.
Magufuli alizomewa uwanja wa Sokoine hadi akashindwa kuhitubia.
Kwa ufupi CCM haikubaliki Mbeya, na...
Kwa mtazamo wangu hivi ni vitu navyoamini vinawekwa siri lakini vipo.
Kala Pina alikuwa anamgwaya Dudu baya
Mr Nice hakufulia kabisa, Bado pesa anazo si haba za kustaafia muziki
Nusu ya wasanii...
Ukiachana na hizo ng'ombe 30 pia niko tayari kuongeza ng'ombe nyingine 50 kama mahari.
Ndoa yangu mimi na mtangazaji Margareth Geddy itakuwa ya jadi na wazee wangu kijijini wamedai wako tayari...
1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature
2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay
3. Latifa – MB Dogg
4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee
5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto...
Msanii Godzilla anapitia kipindi kigumu sana baada ya kuachana na mpenzi wake Doreen.
Kwa sasa Zilla amekuwa haeleweki anaongea nini na muda mwingi amekuwa anaongea mwenyewe na au kujifungia...
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.