Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakati dunia ikiwa busy kujiuliza kwanini P Diddy alikutwa na chupa takriban 1000 za mafuta ya watoto kipindi anakamatwa na FBI, mwanasheria wa msanii huyo amejitokeza hivi karibuni kujibu tuhuma...
12 Reactions
122 Replies
6K Views
"Nasikia P Diddy ana Mafuta mengi na Kitanda Kikubwa" Mnaojua masuala ya Vijembe tafadhalini tusaidieni pia Sisi tusiojua ili tuweze Kuelewa ni nani amelengwa hasa hapa.
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Habarini, Huyu mdada alikuwa ana present 5 selekt na tbway 360, miaka ya 2011, huyu mdada alikuwa na muonekano mzuri kweli, na alikuwa ni tv crush wangu kwa kipindi kile 😍🫢😅she was veeery...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Ni kutokana na Wimbo wake Kabambe unaozungumzia Utekaji wa watu kutupwa Ununio Namshauri aongozane na Mwanasheria wake. ======= Msanii Nay wa Mitego amesema amepokea barua ya wito kutoka Baraza...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Bondia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy...
30 Reactions
80 Replies
6K Views
Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu. Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana...
7 Reactions
67 Replies
8K Views
Huo ndio urafiki sio kusifia tu kwenye media. Hapo nyuma kulikua na kundi kubwa la wasani wa kiafrika kumsifia sana Didy kwamba ni mtu poa sana anasaidia na kuinua wasanii. Kwasasa yupo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Naomi Campbell azuiwa kuwa Msimamizi wa Shirika la Hisani kwa Matumizi mabaya ya Fedha Mwanamitindo huyo amezuiwa kuwa Msimamizi wa Shirika la alilolianzisha la 'Fashion for Relief' kwa Miaka 5...
0 Reactions
1 Replies
575 Views
Hellow wanajf. Mimi ni Mzee wa miaka 29 Sasa. Jinsia ni Me. Nimekuwa nikisumbuliwa na chunusi usoni Kwa miaka nenda Rudi. Nimechoka nataka kuwa ka wenzangu Uso safi. Nakosa kujiamini ninapotaka...
0 Reactions
15 Replies
477 Views
Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake. " Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti...
44 Reactions
94 Replies
4K Views
Sean John Combs (anajulikana kwa jina lake la kisanii Diddy,; amezaliwa 4 Novemba 1969)[1] ni Mmarekani mtayarishaji wa rekodi, rapa (mwimbaji), mwigizaji, mtengenezaji wa nguo za kiume...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hawa masela ni watu maarufu sana nchini Madagascar. Kuna wakati katika mishe zao walipata kusafiri kikazi kwenda nchini Puerto Rico. Wakiwa huko wakapata fursa ya kukutana na jamaa fulani aitwaye...
3 Reactions
11 Replies
510 Views
"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na...
22 Reactions
167 Replies
4K Views
Orodha ni ndefu sana kuanzia justin bieber mpaka Lil bow wow, Orodha ni ndefu sana,na wameanza kujitaja na kutajana baada ya kugindua mamlaka ina ushahifi wa wapakwa mafuta wote ,
17 Reactions
174 Replies
12K Views
MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji...
13 Reactions
128 Replies
10K Views
50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Huyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi, Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what??? Wengine mama zetu walikuwa malecturer...
51 Reactions
231 Replies
7K Views
Na mpiga picha wetu. Muuza madafu akiwa katika vazi rasmi la ajira yake,Naaam ni yeye kabisa akiwa katika shughuli zake za kiserikali.
9 Reactions
40 Replies
2K Views
  • Closed
Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi. Nay
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom