Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari Wanabodi, Kwa Mujibu wa WHO inasadikika karibia watu milioni 35 wanaishi na VVU na kati ya hao 1.5m ni watoto walio chini ya umri wa miaka 15.Inasadikikia pia 24.7mils yao wapo kusini mwa...
9 Reactions
197 Replies
91K Views
Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii...
19 Reactions
70 Replies
5K Views
Dickson Samson Makwaya (Bambo) Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi. Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili...
11 Reactions
152 Replies
5K Views
Jamii ya wapenda muziki wa gospel afrika mashariki imeshtushwa na kusikitika sana baada ya kusikia matamshi ya mwimbaji maarufu zaidi wa muziki wa gospel hapa Tanzania kuwa; 1. Mungu alimpa wito...
25 Reactions
158 Replies
8K Views
John McAfee alizaliwa nchini Uingereza mnamo Septemba 18, 1945. Wazazi wake walihamia Roanoke, Virginia, alipokuwa mdogo. Mnamo 2012 McAfee alisema kuwa baba yake alikuwa mlevi na alikuwa akimtesa...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Inakuwaje wanajamvi. Hii sasa ni too much. Mhamasishaji, mchekeshaji, mtangazaji, msomi na chawa mkuu maarufu nchini DC Mwijaku the national disgrace katoa mpya huko mitaani New York. Mwijaku...
17 Reactions
123 Replies
4K Views
Mi ningekua shilole ningeona aibu sana. Sijui niseme ni shilole au ni uyu kijana ila kuna mmoja wapo anaupungufu wa akili ndo mana kakosa aibu.
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Mariah Carey appears with her mother Patricia and daughter Monroe during a ceremony honoring her with a star on the Hollywood Walk of Fame in Los Angeles on Aug. 5, 2015. Staa wa Muziki, Mariah...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Inakuwaje Wanajamvi! Influencer/Mhamasishaji na mchekeshaji maarufu nchini Mwijaku amefanya jambo ambalo siyo sahihi na kinyume na maadili kwa kumshikashika miguu inayovutia na inayotamanisha...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Akisha vunja ungo she will become a stranger to you. Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka...
74 Reactions
184 Replies
13K Views
Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa? Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tu
11 Reactions
61 Replies
3K Views
50 Cent alifunguka kuwa moja kati ya vitu vingi anavyovipenda ni kuwakataa wanawake wanaojirusha kwake, kwa sababu pia wanafurahia kukataa wanaume wa kawaida. Anafanya hivyo kwa sababu anajua...
36 Reactions
83 Replies
3K Views
Faridi Kubanda amejijengea heshima kubwa kwenye muziki wa HipHop Tanzania. Ni mmoja kati ya watu waliowa-influence wadau wengi wa muziki huo. Mimi napenda muziki ila nasikiliza zaidi hiphop. Na...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa...
17 Reactions
121 Replies
5K Views
Director wa video za muziki nchini Nigeria Omori @boy_director mwaka wazi kua kaka yake ameokoa maisha yake kwa kumpa figo moja, Omori kupitia uku rasa wake wa Instagram ameshiriki picha...
0 Reactions
8 Replies
780 Views
Peter anapaswa asome vitabu na kutazama makala ñyingi ili apate maarifa ya kuutumia unene wake kujiingizia mkwanja na kupata umaarufu ambao pia utazidi kumpa dili za hela Moja ya sehemu ambayo...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Durov CEO wa Mtandao wa Telegram Alikamatwa na kunaripotiwa kuhusiana na kutodhibitiwa kwa kutosha kwenye Telegram. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema Jumatatu kwamba kukamatwa kwa “haukuwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
TMK Wanaume Family ni kundi la muziki wa kizazi kipya kutoka Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania. Kundi lilianzishwa rasmi mnamo Septemba 16 2002 mjini Mwanza, wakati wa uzinduzi wa...
1 Reactions
8 Replies
908 Views
Mcheza porno za OnlyFans aitwaye Andressa Urach (36) anamtumia mwanae wa kiume aitwaye Arthur Urach (18) kurekodi video na picha za ngono kwa ajili ya kupost kwenye akaunti yake ya OnlyFans...
17 Reactions
135 Replies
8K Views
Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba👇👇 "Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba. Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga...
16 Reactions
65 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…