Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huku uongozi wa WCB kupitia Said Fella ukisisitiza hautabembeleza Harmonize kutumbuiza Wasafi festival na Kama Harmonize anataka kuondoka aage kwa amani. Harmonize amekuwa akionekana na boss wake...
4 Reactions
186 Replies
32K Views
Hili jina la Besta, nadhani sio geni kwa wadau wa tasnia ya muziki wa hapa nyumbani (Bongo Fleva). Swali langu ni kuhusu hili umbo la huyu mdada Besta kama umbo lake au shepu yake ni mchina...
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Baada ya mwanadada Jokate Mwegelo kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kisarawe picha ya mtangazaji "Mussa Kipanya" akiwa na Jokate Mwegelo miaka hiyo enzi za ujana wao imeibuliwa na kusambaa kwa...
6 Reactions
102 Replies
27K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limejiridhisha kuwa Seif Kassim Kisauji maarufu Babu wa TikTok ametenda kosa la kimaadili wakati akitekeleza kazi zake za sanaa na limefikia maamuzi...
7 Reactions
148 Replies
7K Views
KWA WALE WASIOFAHAMU HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA. JAY MELODY VS Z ANTO
9 Reactions
29 Replies
9K Views
Wadau za jion naomba majibu ya hilo swali kwa wanaofahamu!!!
1 Reactions
38 Replies
22K Views
Msanii maarufu kutoka Tanzania ameweka record ya aina yake ya kuingiza wimbo wake wa Komasava ile original kwenye chart za Billboard kama ingizo jipya kwenye chart za nyimbo 50 zenye kufanya...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa...
61 Reactions
1K Replies
106K Views
Hakuna maisha watu ukiwauliza huko USA wanaweza kulaumu kama wasanii wa huko. Wengi wanakwambia huku wakijua majuto mbeleni na hakuna mwenye ukweli. Ila wasanii wengi wameishia kuishi maisha ya...
5 Reactions
9 Replies
882 Views
Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena. Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini. Amezitaka media na watu...
11 Reactions
158 Replies
8K Views
Hahaha! Soma alichokiandika hapo.
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa. Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana Zola D...
6 Reactions
259 Replies
32K Views
VISA na MIKASA SIKU P FUNK alipomchapa Makofi AFANDE SELE… Turudi nyuma kidogo, Miaka zaidi ya 18 iliyopita na Ilikuwa ni kipindi kifupi tangu P funk aanze kufanya kazi na Afande. P anasema...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari. Huyu yuko anashinda sana Live TikTok na kuwashawishi vijana wawe mahanisi. Amekuwa akipost video amevaa nguo zenye nembo ya CCM na mkewe huku akitembea mitaani na kushinda Tiktok...
3 Reactions
17 Replies
584 Views
Wadau, Wote wale wa fasioni,leo ni majozi kwetu kwa mtangazaji wetu nguli wa kipindi pendwa cha mafasioniii ameaga rasmi kuwa ndio mwisho wake kutangaza.
5 Reactions
48 Replies
13K Views
Habari zenu wadau wa sanaa, Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na...
24 Reactions
343 Replies
18K Views
Ukiwataja madirector wa Movie za kutisha kwa Tz na East Africa kwa ujumla, basi utakosea km hutomtaja July Tax. Kwa upande wangu, jamaa anaukaribia uwezo wa Mel Gibson kwa Bongo yetu, japo kwa...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa. === Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma. Kwa mujibu wa habari...
26 Reactions
303 Replies
26K Views
Mzuka wanajamvi! Houseboy wa Mhamasishaji, mchekeshaji, mwandishi wa habari na msomi mashuhuri nchini DC Mwijaku anayeitwa Mathias ndiye Houseboy pekee anayeongoza kwa maisha bora Tanzania...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom