Magangsters wengi huwa hatupendi show off sijui kumkiss demu wako hadharani, sherehe kama harusi na birthdays, kulishana keki, kumpigia mwanamke magoti, kucheza mziki na mwanamke hadharani, mzee...
Leo hii, ulimwengu wa muziki umepata pigo kubwa sana kwa kifo cha Mandojo, msanii maarufu aliyejulikana kwa umahiri wake wa kuimba na kupiga gitaa. Mandojo, ambaye jina lake kamili ni Joseph...
Niliwahi kuongea kitu kinachotaka kufanana na hiki miaka ya nyuma na leo nimekutana na mwandishi ambae amelifanyia jambo hili utafiti wa kina.
Ni mwandishi / mtafiti ambae ni mtaalamu wa...
Nmefarijika sana leo baada ya kumuona Mandojo Kariakoo akiwa kwenye duka la viatu vya kike simple akichangamka na kuuzia wadadaB.
Baada ya kudadisi nikaambiwa lile duka ni lake nilifurahi ikabidi...
Joaquin Guzman Loera a.k.a El Chapo mzaliwa wa mexico na mfanyabiashara mkubwa wa madawa ya kulevya anayetafutwa na Marekani na Mexico kwa udi na uvumba, leo nimeamua kushare na nyinyi wanaJF...
Wakuu,
Rais Mwinyi amjibu aliyehoji kapata wapi hela za kufanya harusi ya kifahali hivyo. Ila hili nalo lilikuwa jambo la kuaddress kwenye Mkutano wa CCM, au ndio kiki apate kuongelewa kipindi...
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa...
Kwa taarifa zilizorushwa na kituo cha redio Clouds FM ni kwamba mwanamuziki Albert Mangwea amefariki dunia akiwa south Africa.
Taarifa zaidi zitafuatia.
------
Albert Mangwea maarufu kama...
Marcus Jordan Mtoto wa Legend wa mpira wa kikapu duniani na gwiji wa NBA Michael Jordan, ameingia kwenye skendo kubwa na ya aibu baada ya kupigwa picha akiwa anatumia madawa ya kulevywa aina ya...
I think I was so quite and I didn’t wanted to post this but sometimes you can respect someone that don’t deserve that respect , Look this whole leader who is texting me dirty messages everytime...
Millard Ayo amekaa na mwanadada Klynn au Jacqueline Ntuyabaliwe na kuzungumzia tweet maarufu aliyoiweka wiki iliyopita.
Fuatilia mahojiano:
Millard: Ulikutanaje na Reginald Mengi?
JNM: Mara ya...
Wakuu katika harakati zangu za kutafuta chakula cha macho mara nakutana na Rashida Wanjara.
She is still looking young and energetic, kumbe wakuu kujitunza muhimu
Maana Dada zetu wengine...
Wakuu poleni na majukumu.Niende moja Kwa Moja Kwa mada.Ukweli usio kwepeka huyu mwanadada kutokea Nigeria amekuwa mwenye mvuto kila aendako.
Kina Drake Burnaboy na Justin Bieber wamekuwa...
Sisi Wachaga waishio DSM tumeweka kikao na kuwaita wazazi wake na binti waje wa tueleze kama wanafurahishwa na anachokifanya Mwijaku kwa kwa bint Alice
Kitendo cha kumuweka bondi bint yetu ni...
Christian Gregory, who created the character "Chakubanga," published in UHURU from 1967 onwards. Chakubanga is a barefoot, urban dweller, street smart and knowledgeable about the problems that...
Habari.
Siongei kwa ubaya ni nani anayemuelewa Pastor Tony Kapola juu ya.
° Uvaaji wake
° mahubiri yake hasa Yale ya kusema anataka kufanya collaboration na diamond
° usela usela uhuni mwingi...
Naandika haya baada ya kuibukia huko Arusha kwa kiongozi mmoja wa dini mwenye utata mwingi akitafuta kuombewa kwakuwa anajihisi ana mikosi, mambo yake hayaendi na pengine kuna watu wamemsagia...
Hivi huyu Manguruwe ni nani na katokea wapi? lengo lake nini?
Leo kakutana na kipondo cha Dudu baya kwa madai ya kumkashifu.
---
Siku chache baada ya mfanyabiashara na mmiliki wa mradi wa...
Wazee wa makoti hawasikiki kabisa
Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo.
But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana.
Vip Kwa sasa wanatamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.