Ni kweli Nyashinski ameanza kulewa umaarufu? Hiko ndio kitu kinachoonekana kwa msanii huyo kutoka kwa mashabiki na wadau wa muziki wa nchini Kenya.
Tuhuma hizo zimeibuka kupitia gazeti maarufu...
Wizkid amefanikiwa kupata mtoto wa 3 wa kiume aliezaa ma manager wake anaesimamia kazi zake upande wa ulaya na marekani Jada pallock.
Wizkid alikuwa na watoto 2 wakiume na mama tofauti huyu wa...
Habari za mchana wana Jf ,
Mimi binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa Aslay umetoka sijui kautoa...
Wale mliokuwa mkijiuliza juu ya Diamond kijivinjari na Hamissa katika jiji LA Dubai wiki iliyopita nadhani mnaelekea kupata majibu ya maswali yenu!
Chanzo: Ukurasa wa Instagram wa Clouds
Kundi la wasanii wa muziki wa Tanzania kutoka visiwani Zanzibar, Off Side Trick, wamesababisha kufungwa kwa tamasha la utamaduni la Lamu huko Mombasa nchini Kenya, baada ya kucheza mtindo usiofaa...
Kama mnakumbuka mwaka jana mida kama hii kulikuwa na kimuhe muhe cha tuzo za eatv, lakin kwa mwaka huu mpk mida hii sijasikia fununu zozote kuhusu hizi tuzo, au mwaka huu hazipo.?
Meneja wa msanii maarufu Afrika Mashariki Diamond Platnumz, Sallam aliohojiwa kama kuna nyimbo yeyote itatolewa karibuni.
Akasema kuna collabo ya diamond na wizkid ila hakutaja jina la wimbo. Na...
Hivi jamani mbona katika tafuta tafuta yangu, sijaona hata picha za moshi za hilo jengo likiungua, pale si kuna CCTV camera (refer tukio la makonda) , ila nina taarifa sio rasmi lkn inasemekana...
Mtanange huu ulianza hapo jana pale ambapo TvE/Efm walipotoa tangazo la Ssebo kuzungumza leo na Clouds nao wakapandisha Ruge kuzungumza muda uleule wa Watani wao wa Jadi!
Nimepata butwaa kusikia...
Wakuu jana ilikua ni siku ya kizaliwa ya msanii kutoka kundi lililofahamika kama TMK 'Amani Temba' maarufu kama Mh Temba,katika kuufahamisha umma kuhusu siku yake hiyo pendwa alisikika kwenye...
Jana Hamisaa alionekana ndani ya Pipa from Dubai to Tanzania tayari kwa uzinduI wa filamu aliyoshiriki kuigiza ya Zero P. Hivi kwa sasa Diamond yuko Pande zipi za dunia? Naomba nijibiwe jamani
Katika hili la mzazi wake wa kiume mimi binafsi limenigusa hasa kwa imani yangu ya dini. Siwezi kuhukumu moja kwa moja kwa maana sijui chanzo cha ugomvi wao wala status yao kwa sasa na pia MIMI SI...
Salamu.
Hivi hili neno Kipusa siku hizi limebadilika maana yake?. Nifahamuvyo mimi nifahamuvyo maana yake kwa mujibu wa TUKI ni:
.kipusa nm vi- [ki-/vi-] rhino horn. 2 (sio rasmi) beautiful...
Watu wanasemaga Hamisa ni mnafiki nikajua wanamsingizia, jana ndo nimeamini, huu ukaribu wa Hamisa na mama Kanumba umeanza lini?
Hamisa alimpost Lulu akiwa jela na kumpa pole, leo anaonekana na...
Ukweli wasanii wengi ni feki kuanzia lifestyle zao, uvaaji, maadili yao na pia muziki wao wa kuiga nchi za nje na inafikia hatua wanaiba tune,beat hadi nyimbo nzima wanaibadili kwa kiswahili ili...
MICHORO ya mwilini inayofahamika kama ‘Tattoo’ imekuwa ikitumiwa na watu mbalimbali katika kuhifadhi kumbukumbu ya vitu ambavyo mchorwaji anakuwa amavidhamiria kuviweka kwenye mwili wake.
Tattoo...