Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Haya ndio maneno aliyoyaandika Mange katika ukurasa wake wa instagram By mangekimambi_ Breaking News Wema Sepetu na Mama yake wanarudi CCM very soon.......Rudini nyuma kuna posti niliweka Wema...
6 Reactions
95 Replies
13K Views
Mambo Ambayo Hukusikia Dr.Luis Shika Akisema Baada Ya Zile Nyumba Kushindwa Kuuzwa
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nay naye anataka kuwa mwimba tarab maana siyo kwa mafumbo haya Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Kusema kweli kajua kunoga, hivi alikua anafanya makusudi au alikua anategea kiki? Kusema kweli page ya wema ilikua haina mvuto, especially picha anazopost ukilinganisha na mastaa wengine kama...
13 Reactions
158 Replies
99K Views
Badamu batamwagika mwaka huu, huku tunaambiwa mama wema na mwanae wanarudi CCM, mama ake na kivuruge nae yupo Nairobi kumuona lissu, mbona umbea mtamu
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Ila acheni utani bhana, jide ana mvuto, age imeenda lakini mtoto bado analipa
6 Reactions
51 Replies
13K Views
Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu amemwambia muigizaji mwenzake wa filamu ambaye ni kada wa CCM, Steve Nyerere kwamba hana mpango wa kurudi tena CCM. Wema amesema hayo baada ya kuona ujumbe wa...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
  • Poll Poll
Nakutakia siku nzuri na yenye furaha,kila la kheri
1 Reactions
0 Replies
2K Views
WEMA Kwa "UCHUNGU" Akanusha Kuhusu DIAMOND KUMUOA
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Wana JF, Waswahili wanasema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, ndio hivyo tena Irene vitu maalum vimwemwangukia, sipati picha itakuwaje huko bungeni. Tunaomsupport tunamwombea kila la heri...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari zenu wa Jf Jana usiku mwanamuziki wa kizazi kipya bwana Nasib bin Abdul Juma ameachia wimbo wake unakwenda kwa jina la Sikomi huko kwenye mtandao wa youtube. Lakini cha kustaajabisha...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, Alhamisi hii katika kipindi cha Clouds360, amesema amepunguza wasanii 20 katika list ya wasanii ambao walipanga kuwepo...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
Wambea wa mjini wote mpaka sasa wanaumiza kichwa kuhusu ndoa inayosemakana kati ya Janjaro na Irene Uwoya. Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote uliopatikana ambao unaonesha kwa namna moja au...
2 Reactions
37 Replies
9K Views
Jamani huyu Dada kweli ni African Princess, anarangi na mwonekano mzuri kweli.. she is so cute. na sauti yake ndio usiseme, yaan kila ninapo msikiliza moyo unajaa furaha kweli. Anakafigure flani...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Kuna jamaa anaitwa Rado. Kwa majigambo anaonesha ni artist katika sanaa nzima ya Bongo movie. Mdau huyu nilimsika kwenye tv(sikumbuki tv gani na kipindi gani) akimueleza presenter kua wasanii...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habari wadau.. nikiifatilia WCB kwa miaka mingi nimegundua diamond ndio mfanyakazi bora... yeye ni bosi lakini anaimba vizuri kuliko wafanyakazi wake... kwenye kucheza kwenye show yeye ndie...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
akihojiwa E. A Radio mapema Leo Jumamosi Nov 25.2017 The king of vocalist Melody Christian Bella Obama. amesema yupo hatua ya mwisho kuachana na uraia wa nchi yake Kongo DRS ya Zamani na...
14 Reactions
34 Replies
9K Views
Kati ya hawa wasanii solo wapya ubongoflevani yaani Nandy na Becka flavour, nani ni mkali, nani ana hit kali, nandy ana track ya gusagusa, wasikudanganye, beka ana libebe na sarafina. Toa maoni
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hatimaye imethibitishwa kuwa malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amesaini makataba na kampuni mpya ya Taurus Musik ambayo itakuwa inasimamia kazi zake. Jaydee amefanikiwa kusaini mkataba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni baada ya kutembelea kituo cha utangazaji cha clouds media na kuwapa pole kwa tukio lililowapata jana, kabla ya kuondoka akawaambia kua ameongeza saa moja zaidi hivyo badala ya saa sita...
3 Reactions
134 Replies
18K Views
Back
Top Bottom