Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kusemazana ukweli hii tuzo nyumbu wamempendelea, wapi hamisa, wapi Lulu, wapi Wolper? Nadhani hao niliowataja kwa kweli kwenye suala la mitupio ndio wanaongoza, wema sepetu hana kitu, ila kama...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
Sasa 12:15 ya jioni yupo live clouds TV majanga tu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona jamaa wanacheza na Dully Sykes anacheka cheka tu wimbo mzima. Aliyeelewa anisaidie hata baadhi ya sentensi alizozielewa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Timbulo amesema wasanii wa Bongo wajifunze kutoa kazi zao kwa lengo la kujitangaza nje ya nchi kuliko kutengemea wasanii wa nje ambao muda mwingine hawana mchango...
8 Reactions
46 Replies
8K Views
Diamond Platnumz second baby mama, Hamisa Mobetto is currently in Nigeria for a beauty pageant and while there, she took to Snapchat and made this post; "The most beautiful girl in Nigeria is...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
WAKATI akisubiri kufunga ndoa na mchumba wake, Uchebe Ashraf siku chache zijazo, staa wa muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ yu gonjwagonjwa, Ijumaa Wikienda limedokezwa. Chanzo makini ambacho...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Imemfuatilia huyu ngoma zake ..hasa hii ya sasa kali sana.. Tatizo ni nini. Media zinmpotezea ... Hana promo... Au management. Au upepo wa kiba na mondi unawaficha kama hawa. Sikia ngoma hii...
2 Reactions
46 Replies
10K Views
Utendaji wa kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Paul Makonda na Gavana wa Nairobi Mike Sonko hauko tofauti jinsi Mheshimiwa Makonda anavyoshughulikia huduma za kijamii kwa wakazi wa Dar hamna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msanii Ruby ameonyesha kufurahi sana baada ya mzungu kutoka italy akiimba wimbo wa ruby akapela uitwao na Yule. Rubby amepost akionyesha kufurahia sana. Wazungu wa Italy waliupokea vizuri sana...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Baadhi ya mashabiki amekuwa wakishikilia tafsiri yao ambayo ni tofauti na ile iliyokusudiwa na msanii husika. Hapa jamvini nimeleta ngoma kadhaa ambazo tunaweza kuzijadili; Rostam – Kiba_100...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wengi wetu naamini mnajua kwa kina jinsi monii na Roma walivyokuwa washikaji..Na hata lile tukio la kutekwa walitekwa wote..... Sasa shida imekuja baada ya kurudi uraiani wamekua sio washikaji...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Nauliza tuu kwa sababu naona kama wenzetu wapo tofauti sana au na huko ibadani nako wanaenda kisanii tu!
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Viongozi wa taasisi ya Uzalendo Kwanza wameamua kujiweka pembeni kwa kile walichodai kwamba hawamuelewi mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo makini kililieleza kuwa viongozi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kim Kardashian yupo radhi kufanya jambo lolote ilimradi apate fedha. Mrembo huyo wa Kanye West amepiga picha za utupu kwa ajili ya tangazo la vipodozi vya KKW Beauty. Mara ya mwisho kwa Kim...
1 Reactions
56 Replies
18K Views
Naandika ujumbe kwa majonzi makubwa. Ikumbukwe kuwa Leo kama ilivyokuwa ikitangazwa kuwa ni siku ya wanafunzi kushuhudia show pale mliman city. Mimi kama mmoja wa wanafunzi hao nimeacha madesa...
6 Reactions
47 Replies
8K Views
MAMA SEPETU AFUNGUKA Mama mzazi wa Wema Sepetu amesema kitendo cha mwanae kurudi CCM bila kumuomba ushauri ni kitu ambacho kimemdhalilisha kama mzazi, asema yeye atabakia CHADEMA. Adai...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kama kichwa kichwa kinavyosomeka hapo juu Wale magwiji na wababe wa vita za kiait huko inster wamefutilia mbali acount zenye wafuas wengi za kimbeya mbeya Acount ya...
1 Reactions
74 Replies
10K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Kuna huyu bwana mdogo dimond licha ya kutumia nguvu kubwa lakin zinapotea bure tu Jamaa anabebwa lakin habebek kabisa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mchekeshaji kutoka Timamu, Mama Ashura amesema hakuumizwa na maneno makali katika mitandao ya kijamii kutoka kwa mashabiki wa Alikiba baada ya kumkosoa msanii huyo kwa kukaa muda mrefu bila kutoa...
4 Reactions
103 Replies
11K Views
Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa. Hapo awali inasemekana maisha...
2 Reactions
88 Replies
21K Views
Back
Top Bottom