Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kumeibuka hisia tofauti juu ya picha hii. Wengi wamehoji kwa nini mkono umeshikilia hiyo sehemu ?Wengine wanadai kuwa jamaa ana kibamia ndio maana katumia mkono kukinga kisionekane, kwa mujibu wa...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Nlisoma maelezo ya mtu mmoja kumtaka mbunge wa chadema avunje ndoa baada ya mumewe kuhamia ccm. Nlishangaa zaidi kuona kuna watu wanaunga mkono jambo hilo. Ndoa siku zote hubak kuwa ni...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ingawa wengi hamjui kilichomfanya Daimond asifanye show pale mlimani lakini ukweli ni kwamba ile kolabo na Rick Ross ndiyo sababu kuu iliyomfanya Diamond asifanye show ya bure. Diamond anataka...
5 Reactions
27 Replies
5K Views
Salam kwenu... Nimejaribu kuwafuatilia hawa wasafi naona wote wanavaa mkufu wenye kaalama kama ma msalaba sijui no agizo toka kwa top management. Ama kunakitu wanaabudu ama ni sare kwao... Na...
1 Reactions
86 Replies
31K Views
Nimekuwa namfatilia huyu msanii mda mrefu alichonishangaza zaidi kwenye hii nyimbo aliyofanya kwa akon huyu dogo ni talented sana kaimba kama wakina chrisbrown huwezi sema ni mtanzania lakini bado...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wadau habari! Kuna huu wimbo mpya wa Rich aisee ni mzuri sana, kwa mara ya kwanza nilivyousikia niliupuuza tu, lakini mara baada ya kusikiliza tena juzi, nimejikuta nimeukubali sana. Nikiri tu...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
habari wadau.. msanii anaeonekana ni mshindani mkubwa wa diamond ni ali kiba... na ameanza mziki zamani kabla ya diamond.. kipindi hiki nchi ina tatizo la ajira.. ali kiba alipaswa awe mmojawapo...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Habar wana Jf. Mfahamu mmliki wa Kampuni ya Alibaba. Tofauti na watu wengi wakubwa katika ujasiriamali, kama ukimuona Bw. Jack Ma katika mitaa akiwa peke yake kuna hati hati kubwa kuwa huwezi...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Weekend hii rapper wa hapa nchini Kenya maarufu kama Kalighraph Jones, amewaacha wengi wakiwa midomo wazi. Hii nibaada ya staa huyu wa ”Unajuwa ni Mazishi”, alipoletwa jukwaani akiwa ndani ya...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Mambo niaje, Leo katika sakasaka mitaa ya Kijitonyama kwa Alimaua nikaambiwa kuna mahali inafanyika harusi rasmi ya shishi na dia wake uchebe nikadhan kuna pilau. Kufika pale nimekutana na ndugu...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Chomoka na kichwa cha story hapo hewan mwanawane Naweka mambo sawa kwanza mimi ni team hapa kaz tu, team mama angelina mabula na team yanga mtoto wa london...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Huyu jamaa userious kwenye mziki unapotea vidio vidio tu hazitakusaidia kitu dimond Kiukweli hii wakawaka audio ni upuuzi tu bora hata sikomi mara mia
1 Reactions
37 Replies
4K Views
habari wadau.. nazani wote tunaona kishindo alichokuja nacho dogo diamond plutnumz toka wimbo wa mbagala ulivyomtoa... hajarudi nyuma tena ni hit by hit mpaka kushika tanzania nzima na baadae...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimeupenda naona sauti ni mbongo ila video wahindi naomba kujua sauti hiyo ni msanii gani na jina la wimbo
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mama kanumba afunguka Jinsi Wema Sepetu alivyofaa kuolewa na kanumba kwa kuwa alikuwa mstaarabu na alikuwa akivaa kiheshima sana alipokuwa akimtembelea. shilawadu walimuuliza atajisikiaje wema...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kayathibitisha hayo kwenye sherehe ya harusi ya Rommy Jons ambaye ni official dj wa Diamond. Babu Tale kauambia umma kupitia sherehe hiyo kuwa harusi ya Diamond na Zari ndo inayofuata baada ya...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Naona jamaa wanacheza na Dully Sykes anacheka cheka tu wimbo mzima. Alielewa anisaidie hata baadhi ya sentensi alizozielewa
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Cassper Nyovest ni ushahidi usemi ‘mcheza kwao hutuzwa.’ Rapper huyo Jumamosi aliweka rekodi ya kwanza nchini humo kupita show yake Fill Up FNB Stadium kwa kuuza tiketi 68,000. Ingawa lengo lake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom