Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo.
My brother from...
Ama kweli majumba makubwa hustiri mambo hii kauli kwa namna fulani inashibahiana na hali inayomkuta sasa msanii Enock Bella
Huyu kijana kipindi yupo yamoto band aliwahi kutamba sana na sauti yake...
Leo hii mida hii nimesikiliza wimbo wa huyu mzee babu seya roho imeniuma sana pale nilipo kumbuka kwamba alifungwa kwa kosa la kunajisi watoto.pia nakumbuka jinsi kesi yake ilivyovuta wengi...
Hakuna ubishi kwa mwaka huu mashabiki wengi wa muziki walikuwa wanasubiria kwa hamu kuipokea album ya ‘A Boy From Tandale’ ya msanii maarufu zaidi Tanzania, Diamond Platnumz ukweli ni kwamba album...
Hivi ulishawahi kukaa na ukafikiria kwamba utakuja kufanya copy nyingine kama ile ya wimbo unaoitwa SIWEMA? Kama bado hebu jaribu kufikiria itakuaje kama utazama studio na kuingiza vocal...
Nimesikia kupitia East Africa Radio kwamba hukumu ya Nguza Viking na wanae kupitiwa na jopo la majaji hapo oktoba 30/2013.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa utetezi ukiongozwa na Wakili...
Kwanza pole sana Lulu kwa matatizo,
Ila ili upate uhuru wa moyo na nafsi nitakuomba utulize akili umalize time yako urudi nyumbani ili watesi wako wasipate sababu ya kukunanga tena.
Ila sasa...
Happy Birthday To The QUEEN OF NY."
New Yorkers get real touchy when people decide to claim a position of royalty in the city, as they should. New York City has a rich history and on top of that...
Nimeamua nicompose NYIMBO about Christmas, ni nyimbo nzuri sana bt nashindwa i UPLOAD hapa,na hii ni sehemu ya kipande tu, (dancing clip promo)
If anyone interested ani DM namba yake nimtumie kwa...
Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani...
Kigogo wa wema, Clement Kiondo ‘CK akiwa bize jikoni.
NA Waandishi wetu, Risasi Jumamosi
Dar es Salaam: Upepo umebadilika! Aliyekuwa kigogo serikalini katika idara nyeti kabla ya ‘kutumbuliwa’ na...
Baada ya kuandamwa mitandaoni kuwa tangu amekuwa staa bado anaishi nyumba za kupanga maeneo ya Kijitonyama jijini Dar, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefungukia madai hayo kuwa wengi...
Yaani nimeanza kuperuzi Youtube tu, nikaona kitu iko kwa juu. Sasa nairudia kwa mara ya nane, nafikiri leo ndio itakuwa nyimbo yangu. Mafundi wamekutana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.