Karibuni,
Nimekutana na taarifa 'njema' ambazo zinamhusisha msanii wetu pendwa, Vanessa Mdee ambaye alishawahi kuitwa Central na Makonda, kwamba amepata dili nono la kusaini na Lebo ya Kimataifa...
Kada huyo anayependa sana lugha ya malkia ingawa yenyewe haimpendi amepost tena kwa msisitizo mkubwa kuonyesha umahiri wake mara baada ya kujichimbia chimbo kwa muda mrefu akibukua ki english
Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia muimbaji Rose Mhando kwa tuhuma za kujipatia shilingi 950,000 kwa njia za udanganyifu
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida Deborah Magirimba...
Kweli Siasa hazina adabu baada ya Wema Kurudi CCM na kusema yupo nyumbani amuita RC wa Dar Le Brother. Kasahau yale yote ya nyuma Kesi za Madawa na kila kitu.
Maneno yote aliyoyasema wakati...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe Juma mosi December 16, 2017 alizindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa...
Wadau nimejaribu kuusikiliza huu ujumbe wa Mama Kanumba kwa LLulu,nikajiuliza kama Lulu angekua mtiifu kwa Mama kanumba je angeweza kuomba mahakama ifute kesi? Je kukomaa na ile kesi ilikua ni...
Diamond Platnumz, anazidi kujitanua katika nyanja za kimataifa. Katika Album yake inayotarajiwa kutoka Jan 2018. Moja ya kibao ktk Album hiyo ni Baila, ambayo amemshilikisha Miri Ben Ari, Mchawi...
Staa huyo wa nyimbo kama niwe wako na mapenzi ni ya wawili amepotea sana kwenye tasnia ya muziki,sauti yake tamu na nyororo ilitakiwa iendelee kutuburudisha katika vipindi mbali mbali vya...
Nimepata kufaham hivi karbuni kua msanii Nay wa Mitego alikua na mahusiano na huyu mwanamke ambae mara nyingi nilikua naona videos zake mitandaoni ila nilikua simjui.
Najiuliza Nay msanii mkubwa...
Habari wanajamvi...Ni matumaini yangu mu salama!!
Mwaka 2017 umekua mwaka wa mafanikio makubwa sana kwenye tasnia ya burudani nchini Tanzania hususani kwenye industry ya MUZIKI ukilinganisha na...
Dar es Salaam.Nyota wa filamu wa Nollywood nchini Nigeria, Ramsey Noah amemkumbuka msanii mwenzake Steven Kanumba akisema ndiye aliyejenga daraja la ushirikiano kati yao.
Amesema Kanumba ndiye...
Kwenye baadhi ya familia za Kitanzania Mtoto akionekana kutumia mkono wa kushoto huwa anakatazwa na Wazazi ambao wanaamini mkono wa kulia ndio sahihi kutumika kwenye kuandika na matumizi mengine...
Kwa kwl kwa huu mwaka unaenda kuisha huu wimbo wa huy mlimbwede gigy umesumbua sana. Na kwa upande wangu nikiambiwa nitaje wimbo bora kwa mwaka huu 2017, nampa papa una kila sifa ya kuwa ndo wimbo...
Rapper kutoka majuu anaekwenda kwa jina la rick ross ambae naamini watu wengi wamemjua baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya Diamond "waka Waka" anathibitisha ule msemo wa hip hop hailipi bongo...
Mm Hip hop fan pia composer and raper. Natamani kufanya kazi na Duke,Palla,texas au ray teknohama. Nataka nirekod wimbo wa kusikiliza tu ghetto sio wa kupeleka redioni. Naomba kama wapo jf wani PM...
Ni matumaini yangu wazima kabsa wadau WA JF.
Katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii hususan instagram..nimekutana picha za mwanadada WA kiganda ambaye pia Ni shemeji yetu( Zarina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.