Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari wanajamvi... Bila kupoteza muda nidondoke kwenye mada yangu!!Imekua ni kawaida kuona TUZO zikianzishwa hapa Tanzania lakini hazidumu.Toka Tuzo za kilimanjaro Music Awards zilipopotea...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakati wimbo mpya wa Diamond Platnumz aliomshirikisha Rapper Rick Ross kutoka Marekani unatoka haukuwa na nguvu kubwa pengine kutokana na kuahirishwa kwa tarehe iliyotakiwa kutoka video ya wimbo...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Willy Paul ameweka wazo la kuvishinda vishawishi katika kazi yake mpya kwa jina ‘Tempted’ likihisiwa kuwa ni jibu la baadhi ya tuhuma za watu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutumia dawa za kulevya inayomkabili, msanii wa filamu Wema Sepetu ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu lakini haikuweza kusikilizwa kwa sababu wakili wake hakuwepo. Kesi hiyo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ilikuwa siku ya Jana Dec 8 ambapo ilitangazwa Aslay atatumbuiza kwenye siku ambayo redio Kasibante iliyopo Bukoba inatimiza miaka 9 tangu ianzishwe, nyomi ya watu ilijitokeza kumsubiria msanii wao...
10 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakati wimbo mpya wa Diamond Platnumz aliomshirikisha Rapper Rick Ross kutoka Marekani unatoka haukuwa na nguvu kubwa pengine kutokana na kuahirishwa kwa tarehe iliyotakiwa kutoka video ya wimbo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu. Aisee nilikua nasikiliza wimbo wa Papii kocha Salima..nimemkumbuka sana yule bwana..ningekua karibu ningeenda kumtembelea gerezani..dah maisha haya.
6 Reactions
62 Replies
11K Views
Habari wakuu, Kufa kimuzik kwa Baraka da prince wap alikosea? Kama nlivyotangulia hapo awali swala la anguko la baraka kimuzik alilisababisha mwenyewe kwa haya machache ambayo aliyafanya;- 1...
1 Reactions
63 Replies
12K Views
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Juma Malewa amesema katika msamaha uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli siku ya uhuru Desemba 9, 2017 haukumuhusu...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
hi jf members,,,,, Niende direct kwenye mada, ieleweke mimi napenda muziki mzuri haijalishi nani kaimba, kwa maana hiyo sina team Naseeb(diamond) ni msanii mzuri sana vivyo hivyo kwa Ali kiba. Ni...
6 Reactions
53 Replies
7K Views
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni baada ya juzi kati nilipoenda kutazama mechi ya soka pale uwanja wa sigara tabata, dah jamaa ni mtu peace sana yani hata ukimuomba kupiga nae picha hanaga...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Diamond platinum wakigonga Chias na boss wa kampuni ya kinywaji cha luc belaire iliyompa dili nono, katika series za self made zinazoandaliwa na luc belaire
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Wana jamvi, In Principle Roma Mkatoliki ni nani?Ni Mkatoliki?Ni muumimni wa Chama Gani cha siasa?Ana mtazamo wa namna gani katika siasa,maisha,n.k. Nimeuliza swali hili kimsingi hasa baada ya...
1 Reactions
44 Replies
30K Views
Maneno Makali ya AFANDE SELE kutoka Instagram Kwa MRISHO MPOTO na Majibu ya MPOTO kwa AFANDE SELE... Afande Sele King - Rafiki yangu mkubwa mjomba mpoto kama ni kweli wewe ndio ulikua kinara ktk...
13 Reactions
133 Replies
18K Views
kitu ambacho utakigundua baada ya tamko la rais kuwataka wasanii wazingatie maadili kwa uelewa mdogo tu rais aliiona video ya waka waka baada ya kusikia kafanya kazi na msanii mkubwa wa marekani
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya kusota gerezani kwa miaka 13 na miezi minne, wakitumikia kifungo cha maisha, hatimaye mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanae, Johnson Nguza...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Kua uwatembezee! Huku nae tiffa atakua anatembezewa
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Mimi Deogratius Nalimi Kisandu kwa jina la kisanii naitwa 'Masqo' mwaka 2005 niliingia Studio za SEI RECORD zilizopo Kinondoni chini ya Prodyuza SEIBLAT(Said) na kurekodi wimbo wangu unaoitwa...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom