Naona graph ya richi mavoko tokea ajiunge wasafi inazid kupanda day after day. Kwa wale tuliokuwa tunalalamika na kumponda kwa nn mavoko kajishusha kwnd kusimamiwa kazi na lebel ya wcb, kwa kweli...
Hivi nini kinaendelea kwa huyu bi dada loveness love a.k.a deeva wa clouds, kwasababu lately amekuwa akipost Instagram ujumbe ambao katika hali ya kawaida unaweza kuhisi kuwa hayupo sawa kabisa...
Daah kwa sisi club bangers hii inakuwa zawadi nzuri sana kwetu sisi kipindi kama iichi karibia na sikukuu .....msanii rayvanny kaachia bonge la ngoma umo ndani yumo na madj wawili mmoja wapo ni dj...
Muda mrefu kumekuwa na minong'ono ya chinichini kwamba kuna baadhi ya wasanii pale WCB wana uwezo mkubwa tatizo nyota wengine uwezo wao mdogo ila wanabebwa na kiki.
Wapo wanaodai Rayvann ndiye...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo
Yule dada snura mush wa majanga anatafuta mwanaume wa kumupa mimba azae
Sunura kaweka waz swala hilo baada ya dar...
Kweli pesa inambadilisha mtu, harmonize huyu huyu ambae alikua hajui hata kusema "thank you" leo anabonga ungeli kama hana akili nzuri, hofu yangu ni je alikiba tayari amesha weza na yeye?? maana...
wakuu.
ni furaha kubwa sana kwa watoto wa Diamond Tiffah na Nillan wakimsubiri Baba yao mdogo azaliwe ili waanze kucheza nae itakua furaha sana kumpata Baba mdogo a.k.a mtoto wa Shamte.
Dk. Harrison Mwakyembe December 16, 2017 alizindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii.
Moja ya vitu...
Mwimbaji wa marekani Jason Darulo mwenye urefu wa meta 1.84 na hit maker wa Tip Toe alomshirikisha French Montana atataka Rayvvany wa WCB wasafi kushirikishwa kwenye remix ya Tip Toe hivi punde...
=> Caption za Istagram naandika mwenyewe na naona naandika maneno ya kawaida wala simpigi mtu vijembe.
=> Watu wengi naona wanantukana Zari na yeye hapa hana ndugu kwahiyo nikiona hivyo lazima...
Nauliza tu, maana kuanzia mwakajana kumeibuka utitiri wa vijana wanaoimba muziki huu, je kabla haujaaanza kutambulika mtaani walikuwa wanaimba nini, au walikuwa hawaimbi?
Wasanii wa kike wa bongo muvi wamechukia sana kauli ya Shamsa Ford baada ya kuwaambia kuwa hawamfikii kwa uzuri Irene Pancras Uwoya hata ukucha .
Kauli hiyo ya Shamsa Ford iliibua mjadala mzito...
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Hemedy PhD amefunguka mambo kadhaa kuhusu yeye kuwa baba wa watoto sita.
Muimbaji huyo ambaye anatamba na ngoma ‘January to December’ ameiambia Planet Bongo ya...
Anasema alikuwa hamjui Bashite ila sasa kamjua na anampenda sana.
Nakuuliza wewe Wema umemjua Bashite kwa vile unataka ufutiwe kesi. Kwanini upoteze utu wako kwa tamaa ya pesa.
Mbona akina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.