WAPENDWA BWANA YESU ASIFIWE;
kutokana na maisha magumu na yaliyojaa na kila aina ya mkanganyiko wanadamu wengi tumexchanganyikiwa na kukuta tunafanya mambo yasiyokuwa sahihi.kibaya zaidi naamini...
Ndugu zangu wana JF mie sie mpenzi sana wa hili jukwaa ila kwa siku ya Leo imenibidi niingie hivyo hivyo
Miaka 7 nyuma Tanzania ilipiga hatua kubwa sana kwenye tasnia ya filamu na tasnia hii...
"Diamond is on probation and is managing well so far. I can even date 100 men because I love being loved, even if I leave Diamond today I will date someone else tomorrow. Diamond is still fighting...
Mafikizolo alikuwepo na tingdis alikuwepo tatizo zari ali alika watu wengi mno ila mondi kanunua pombe chache mno ndo kisa watu kusepa mapema na kuwaacha wamatumbi wa wcb pekeyao.
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Lagos jana palikuwa na show ya kukata na shoka pale mwamba wa africa adeleji au wizkid alipoitisha show ALIYOIPA...
Huyu jamaa yuko wapi mbona kapotea haraka kusikojulikana? Meneja wake atoe majibu haraka tujue jamaa yetu yiko wapi na nini kimemsibu maana tulitegemea msimu huu wa sikukuu angemuandalia tena show...
Huku ukonga kuna hawa wasanii walikuwa wanaitwa Mapacha Wawili walitamba na kibao chao cha "Ni Rafiki tu" ni watu watu waliopoteza uelekeo na tunasema bolts zimechomoka yani no network at all...
RASILIMALI MKE.
Ukiujua huu Utamaduni vizuri, utapata Mke Mwema na mlezi wako kutoka Mabinti walio wahi kushiriki Mashindano ya Warembo. Vichupi vyao jukwaani sio tija ila ni jàdi ya mashindano.
Halla kwa wanajamii wote, huku tukiendelea kuenjoy long weekend ebu tujadili kidogo.
Kama kawaida napenda muziki mzuri pasipo kuwa na ushabiki au team maandazi. WCB nawakubali sana, kumejaa...
Idrisa sultan nikijana mmoja mjanja mjanja sana tukumbuke aliwahi kuwa mshindi wa mashindano makubwa ya Big brother Afrika na akajinyakulia kitita kikubwa cha pesa huyu jamaa ni mtu maarufu sana...
bizzman alitoa wimbo wake mmoja mkali, ulikua ukichezwa daily radio one sterio.
ulikua unaitwa "ametoroshwa mpenzi wangu"
hihi kisa naona kama ni cha kweli maana jamaa alikua analalamika sana...
Msanii Ney wa mitego amedai anaimba ukweli ndio maana hata aliyoyasema kwenye wimbo wake wa shika adabu yako amesema yamekuja kuthibitika ametolea mfano kuwa wema sepetu mimba yake iliyeyuka kama...
WARAKA MAALUM KWA WASANII WA BONGOFLEVA.
"MZIKI BILA VINA UNAWEZEKANA"
Kwanza pokeeni salaam zangu za Krismas na mwaka mpya 2018, Mimi ni mwenzenu Deogratius Nalimi Kisandu kwa jina la kisanii...
Kwa hakika huyu bwana mdogo Rayvanny ni sheeeeda maana si kwa mikwaju hii walahi daaah.
Huu wimbo alio shirikiana na DJ Maphorisa ni nyooooka
Yaani huu wimbo hauchoshi kuusikiliza wala...
habari wadau..
naona rais wa WCB mambo ya vyuma vimekaza yeye hayamuhusu.. maana hela anachukua kwa wateja wake waliopo dunia nzima...
zawadi ya harusi ya dj wake mr romy jones ni nyumbaaa...
Wakuu.
Ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?
Vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma...
Sijui kwakweli kama hawa jamaa walikuwa serious.. Au huenda walipishana lugha. Nafikiri hawakuelewana kabisa..
Kinachoimbwa hakirandani hata kidogo na video
Wimbi mzuri kweli..ila humu ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.