Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

namuona hana raha ,,ana furaha ya kuvaa shela tu,au karogwaa ,mchagua nazi sana mwisho hupata koro.. Huyu kaka kaangalia pembeni sura ngumu kweli akigeuka si tutakimbia mweee ndoa hizi kuolewa ili...
16 Reactions
147 Replies
17K Views
Mtaalamu wa miondoko ya R&B anaitwa Myron Lavell Avant, maarufu kama Avant mzee wa "Separated"; "My First Love", bila kumsahau mwanadada KeKe Wyatt; na "Read Your Mind". Kuzaliwa April 26, 1976 (...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
sasa ni lunchtime tufunge makazi twende kwa chakula tuje tena saa nane wengine wanakwenda kulala uwanjani kumbe ni shida ndugu njaa inamwumiza wengine wanakunywa soda na keki huku roho yote kwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hbr wapendwa Najitokeza kumuusia mdada Hamisa Mobeto. Sikufahamu lkn nafuatilia kinachoendelea kukuhusu. Ninafarijika kuwa bado una sehemu ya hofu ya Mungu kwa kuzingatia hata maagizo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu ni mtazamo tofauti na ule ufanananishao kifo cha msanii mkongwe wa bongo movies, Steven Kanumba, na kifo cha Tasnia ya filamu Tanzania: yani, Kupungua kwa mapato na kufifia kwa majina na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Haya haya wale wapenda ubuyu, stori ya town ni kwamba wema sepetu sasa yupo kwenye penzi zito na msanii maarufu duniani, ajulikanae kama mohombi: staki kusema sana tazama video yao hii
0 Reactions
95 Replies
17K Views
Wandugu napenda fahamu miss Tz 2002 Angela Damas yu wapi? Ni miss Tz ambaye hana scandals, nampenda
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Muimbaji huyo amesema taarifa hizo hazipaswi kuaminiwa na wanaozisambaza ni wale wenye nia mbaya ya kumchafua. “Sijawahi kutumia dawa za kulevya na kama kuna mtu yeyote anayeshupalia hicho kitu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wasanii kama Ben pol,Joh makini,Ali kiba,jide, Darassa, Belle 9,Mwana Fa,Barnaba na wengine wengi. Yaani hakuna hawajapiga shows msimu huu wa sikukuu. Kumbi kama Dar live,samaki samaki,maisha...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Hongera sana kwa tendo la kijasiri,hakika umeonyesha ubinadamu wako na hiyo ndio maana halisi ya kuwa wasanii ni Kioo cha jamii.Asante sana
22 Reactions
52 Replies
11K Views
habari wadau.. nimekutana na tunda man nikakumbuka ni msanii wa tip top na bosi wake ni babu tale... naona bosi kama ana upendeleo vile.. nikitazama video za WCB ni za ukweli zinafanyika sana...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kweli mjini kuna mastaa malimbukeni namba moja ndo huyu anaona fasheni kuanika hayo makalio yake nje. Tulichelewa kukujua au ulichelewa kuja na kujua mjini? Chupi zenyewe mtumba unaokotaga...
0 Reactions
59 Replies
30K Views
Bundala,roy,groly Walikuwa watangazaji mahiri sana pale redio free ila sasa siwasikii kwa anayejua walipo anijuze
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Naan kama ilivyo kwa wengine pia mimi ni mpenzi mkubwa sana wa BongoFlavor, Na leo nilikua nafatilia kwa kina kuhusu lifestyle ya mwanamuziki ALIKIBA ambae kwa kawaida ni ngumu kujua details zake...
12 Reactions
111 Replies
56K Views
Ni muimbaji wa kike ambae amewahi kupamba vyombo vya habari akidai kuzaa na msanii wa kufokafoka Mtunzi na kinara wa tungo iliyoleta gumzo na mshikemshike Nchini ya 'Wapo'. Huyu dada alikuwa...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Tukiangalia mwaka 2016 katika wasanii wa bongo fleva nani aliefanikiwa katika muziki wake na kuingiza pato kubwa mwaka 2016 Diamond platnumz huyu ndo msanii aliepata mafanikio zaidi Tanzania Hizi...
12 Reactions
44 Replies
20K Views
Kwa kweli naona hapa mzee Abdul kiroho kitakuwa kinamuuma kweli kuona yeye kutopewa nafasi ya kuhudhuria kwenye Bday ya mjukuu wake Nillan badala yake amepewa Mume mwenza (Shamte) Hili ni pigo...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Hivi hawa watu toka watoke jela wako wapi na wanafanya nn? Kama hakuna wanachofanya rais alifanya makosa kuwatoa
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Back
Top Bottom