Naomba kujuzwa wakali wa hip hop wa zamani kama xplastaz, weusi ten ngangali na wakali wa sasa kama Niki mbishi n.k wako wapi hatusikii wakitoa nyimbo Kali za kuchana au ndo kusema hip hop imekufa
Natafuta picha za harusi sizipati lakini habari ni kuwa huyu prodyusa wa mziki ambaye aliyewahi kuseama kuwa ana alergy na hali ya hewa ya Tanzania ameoa mtoto wa rais mwinyi.
Habari zilizokuwa...
Staa wa ngoma ‘Mbeleko’ Rayvanny aliyeko Marekani kikazi, baada ya kurushiana maneno yaliyoashiria kuwa amekosana kimahusiano na mama wa mtoto wake, ‘Fayhma’ sasa ameonesha kuelekeza mapenzi...
Asee tukae tukijua kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekula tikiti maji na aliyekula ugali asubuhi,
Aliyekula tikiti maji asubuhi ya saa moja by saa nne tu njaa humuuma tena na huingia tena...
Ana andika Msanii Mwijaku baada ya kuona mahangaiko ya Hamisa.
"My brother unaekimbia majukumu yako, usiniache kabisa nikamkaribia girlfriend wako uliemzalisha na kumkimbia ukidhani hana thamani...
Katika pitapiza zangu mitandaoni nimebahatika kukutana na maelezo ya Vanny boy dogo wa WCB anasema kafanya ngoma na Darulo and French Montana....katika umri mdogo kama ule ameanza mambo makubwa...
Insta kunafuka moshi kwa wapenda ubuyu yaan mambo ni hivii,,ni pale bibi Tukinao mwenye miaka 49 kurusha kombora hili snapchat
nadhan alimpa dongo yule mwenye party Don zella basi bomu...
Aman iwe nanyi wapendwa
Soma kichwa cha habar hapo juu
Hivi huu utaratibu aliouweka ni nani?
Clouds media imekuwa kimbilio la wasanii kwenda kutambulisha audio zao, msanii akitoa audio huwa ana...
Bondia asiyepigika Floyd Money Mayweather hatimaye amekubali kufanya rematch na Conor McGregor ila safari hii haitakuwa boxing tena bali UFC kwa dau la 1 billion USD
Na hatoishia kwa Conor tu...
Nimegundua kwa nini Diamond hutoa nyimbo hata tano ndani ya mwezi mmoja na akitulia kwa muda wa mwezi bila kutoa wimbo anafutika ghafla kwwnye ulimwengu wa muziki.
Hii itakuwa inatokana na nyimbo...
Wadau
Leo tarehe 22/12/2017 ni siku maalumu sana kwa Watanzania wote kwani ni kumbukumbu ya siku aliyozaliwa Mh Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na...
Habari za jioni
Leo 30/11/2017 wakati wa kipindi cha jahazi kinaanza nimeshituka kusikia wimbo wa Ruby_sijuti kwa mara nyingine ukipigwa redioni clous baada ya huyu mdada kupotea katika gemu...
Nimekuwa nikitamani kumjua kwa jina ili nipate kupakua wimbo mmoja huwa napenda kuusikia kwenye Super Mix ya Ea Radio, sijui jina la wimbo ila nadhani unaitwa Vuma.
Kacheza kionjo kwenye kipindi...
Baraka da prince katoa ngoma iitwayo "Nipe nguvu" ni ngoma Kali ila cha ajabu viewers wake uko you tube wanapanda na kushuka.
Ebu msome fuatilia habari hii moja ya shabiki zake anavyosema hapa...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa..
Nipo hapa Kampala katika pita pita yangu mtaan nakutana na mabango na vipeperushi vinavyosomeka kesho tarehe 21.. Kutakuwa na party ya kufa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.