Mrembo mwenye shepu ya kuvunja chaga wa bongo Sanchoka amesema katika malezi yake hajawahi wala hajui namna ya kupika ugali.
Sanchoka anasema ugali kula najaribu ila kupika sijui kabisa
Mrembo...
Katika siku za hivi karibuni kuna picha ya kijana ambayo inaenea mtandaoni wakidai kuwa ni dk shika enzi zake alipokuwa angali kijana ,huu ni upotoshaji mkubwa sana tena mbaya zaidi umefanywa na...
kila wimbo anaotoa nandy mkali, anayemwandikia nyimbo na melody anamjulia maana hakosei.
Nimesikiliza ngoma yake mpya ya kivurugwe kwakweli nzuri.
Wajua unaweza kuwa wajua kuimba una sauti nzuri...
Habari wanajukwaa. Wasanii nguli walio pia wanasiasa, Joseph Haule na Joseph Mbilinyi wanapambanishwa ndani ya radio one nani zaidi jumapili hii. Muda huu watu wanapiga simu kutoa maoni nani...
Ruge, sikia kilio chetu
Sisi wapenzi wa Fiest tunahitaji Dr Shika awepo siku ya Fiesta.
Mnazima taa, muziki unazimwa. Panakuwa kimyaaaaaaaa
Mkija kuwasha taa raia wanamuona Dr Shika juu ya...
Nimesikitika sana jana nilipokuwa namsikiliza mama kanumba akiwa anahojiwa na kwisa na soudy brown katika kipindi cha shilawadu...akidai kuwa Lulu alishawahi kumuita "kubwa jinga" na pia kufanya...
Kwa ufupi
Asema atakuwa huru baada ya kutumikia adhabu hiyo kwa sababu ni mipango ya Mungu
By Kalunde Jamal, Mwananchi
Imeelezwa kuwa baada ya msanii Elizabeth Michael kusomewa hukumu ya...
Nilifikiri vijana kama Barnabas wameshafunguka kimaisha na has a kuhusu fashion. Nilichokiona kama hakikufanywa kwa makusudi basi ni ushamba wa hali ya juu kwa B boy. Kavaa kitop cha kike, au ni...
Jamani kwani hatujui kuwa mastaa wengi wa kike bongo walikua na ndoto ya kuzaa na diamond? Sio WEMA, UWOYA, LULU, JOKATE, WOLPER, TUNDA, AUNTY EZEKIEL na mastaa wengine kibao walikua wanalilia...
Clouds waanzisha kampeni mpya ya kumnanga bashite aachane na mpango wa kuvuruga tamasha la fiesta litakalo fanyika leaders tarehe 25 baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna mpango wa kuwepo shughuli...
Naona Hamisa anamrushia dongo aliyekua laaziz wake kupitia wimbo mpya wa Nandy uitwao KIVURUGE.
Mrembo huyo amekua akirusha audio clip ya wimbo huo kwenye ukurusa wake wa instagram kuonyesha...
Pole Irene Uwoya Upate Nguvu ya kuyashinda Majonzi.
Tanzania ilizipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Kocha msaidizi wa timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana Katauti ambapo mazishi yake...
Wasalaam wana jamvi!
Ni ukweli usio pingika kuna muziki fulani uliokuwa umezoeleka ndio unatakiwa kupigwa radioni na hii ilikuwa ni uniform za Radio zote kana kwamba ilikuwa ni sheria ambayo...
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mabye pia ni kipenzi cha wasanii, Jakaya Mrisho Kikwete, amewataka wasanii kufanya kazi zenye ubora zaidi ili kuweza kushindana na soko la...
Ukweli utabaki kuwa ukweli, wanaume akiachwa na mwanamke anaumia sana na adhari nikubwa comparing to wanawake bad thing ni wachache sana wanakubaligi kuwa hawako ok wengi wanaajitapaga am ok, am...
Wakuu salaam.
Nimeona video you tube ikionesha jinsi irene alivyoguswa na kifo cha mzazi mwenzie.
Hata kama ni kwa unafiki(kama watu wanavyosema) ila kaonesha nini maana ya mme mtu ukishazaa nae...
Asema inakuwa vigumu kwa watu maarufu kama wasanii kushindwa kuoa kwasababu wanazungukwa na Wasichana warembo kila mara na kutaka kupakua kila amuonaye. kwa mfano kanumba hakupanga kuoa. Pia...