Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Tunahitaji wasanii wa muziki bongo flavior na hip hop nafasi tano zitashindaniwa kwa kucoment na kulike kwa kuacha song yako ulio record au melody kama hujarecod na namba yako ya simu au email...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika tasnia ya habri hasa watangazaji ambao sauti zao zinanipa shauku ya kuendelea kuwasikilza wakiwa wanatangaza ni hawa 1.Mabere Makubi ITV 2.Chase Hillary Azam TV Tupia na wa kwako ambao...
1 Reactions
176 Replies
35K Views
Lazima nikiri kuwa nimekuwa shabiki wako tangu unatoa wimbo wa mtoto wa uswazi ila baadae ukamua kuacha rap na kuamua kuimba niliendelea kukusikiliza lakini sikuvutiwa na style yako mpya...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Mbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band. Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni, si fisadi na hapelekwi na mihemko ya...
7 Reactions
71 Replies
12K Views
Personal simfahamu lulu Jana nilisoma habari kafungwa miaka 2 .Today nikasema ngoja niangalie video kwa kweli Ili iliniumiza mno. the abuse of a human right was beyond my imagination .Walivyokuwa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanajamvi, Jana mama mzazi wa Marehem Steven Kanumba amenukuliwa na vyombo vya habari akisema "Mahakama imetenda haki" kwa kumhukumu kifungo cha miaka miwili kwa kuua bila kukusudia Elizabeth...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
Ndio kwanza anatimiza masaa 24, kifungoni gerezani... Bado masaa mengi sana ukizidisha mara miezi 24... Wote hatujui hali aliyonayo japo tunaweza kukisia.... Lakini ni vema roho yake ikubaliane na...
10 Reactions
53 Replies
7K Views
MSANII wa fi lamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ atapaswa kutumikia theluthi ya kifungo chake ambacho ni miezi mitano gerezani kabla ya mchakato wa rufaa dhidi ya kifungo chake. Lulu alianza...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari weekend wakuu. Kumekuwa na changamoto anazopambana nazo kwa sasa mwanamuziki baraka da prince kwenye ngoma yake mpya ya sometimes kuwa ngoma yake inapatika youtube mara inapotea yani...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
Mcheza sinema za bongo Movie Elizabeth Michael ‘LULU' amekiri kuteswa na jini mahaba ndiyo maana amekuwa akishinda kujizuia kulala bila kufanya ngono hali ambayo anatamani kuiacha lakini...
4 Reactions
68 Replies
17K Views
Siwezi muita mama Lulu mama lulu kwani mimi nilimjua kwa jina la shikana wakati huo mama yake akiishi na mtoto huyo mbagala Rangi tatu. Nakumbuka tulivyoishi nae mama akiwa mtu wa tungi ile...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini wajamvi, Leo nimeona tuone mchango unaotelewa na Coke Studio Katika Muziki wetu hapa Afrika. Coke Studio Africa imejitahidi sana kuleta na kuwakutanisha wasanii wengi barani Africa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mama mzazi wa Marehemu Stephen Kanumba, Flora Mtegoa baada ya hukumu ya Lulu ambae amehukumiwa kwa kifo cha mwanae ameonekana na furaha mpaka kujawa machozi. Mama Kanumba amesema anamshukuru...
6 Reactions
189 Replies
25K Views
Diamond: Mwenyez Mungu ameamua kukupa mtihani huu wewe kwa sababu anaamini wewe ni Shujaa na Imara.....pia anaamini wewe ndio msichana pekee unaeweza kuuhimili mtihani huu.... hivyo Usisononeke...
2 Reactions
124 Replies
15K Views
Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu', Lucresia Karugila ‘Mama Lulu' ametoa...
3 Reactions
128 Replies
27K Views
Baada ya Hukumu ya Miaka miwili nini hatima ya Mkataba wa Lulu na Azam,,,,,..... Au ------ Chaneli ya Sinema Zetu inayopatikana katika Televisheni ya Azam, leo imetangaza rasmi uzinduzi wa...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Aslay ana kipaji kikubwa sana. Kwanza ameweza kutoa hit songs mfululizo na zote zikapendwa yani akipanda jukwaani mashabiki wanaimba wenyewe. Ila tatizo ninaloona mbeleni linaweza kumuathiri, ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwema wana, Yule mwanamziki pekee wa kimataifa panapo ardhi ya Nyerere, Diamond Platnumz yupo jikoni akiaanda ngoma nyingine na mkali kunako ardhi ya Trump, USA Baby. Mtakumbuka kama wiki mbili...
11 Reactions
190 Replies
29K Views
KITENDO cha muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kutoa maneno ya kumtusi mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, ni dalili za msichana huyo kuitafuta laana. Hivi...
5 Reactions
73 Replies
24K Views
Leo nataka tukate mzizi wa fitina kati ya Tunda na Elizabeth Michael Lulu nani kisu zaidi kuliko mwingine Picha ya pamoja Tunda na Lulu Lulu Tunda Lulu akiwa kitandani Tunda akiwa kitandani...
6 Reactions
199 Replies
52K Views
Back
Top Bottom