Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Uingereza wa ajili ya ziara ya vyombo vya habari,ambapo leo alikuwa akihojiwa na mtangazaji Salim Kikeke wa BBC Swahili
Diamond kwenye mahojiano hayo alisema...
Diamond Platnumz haishi kutuamsha na habari kubwa zinazohusiana na nyimbo zake kila kukicha.
Baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘Hallelujah’ ambao amewashirikisha Morgan Heritage kuweka rekodi...
Habari wakuu, Naomba kuuliza kama yanayosemwa na watu wengi kuwa kucha husababisha "k" kutema.. kuna picha mbali mbali Zari ameonekana na kucha ndefu, swali. Ni je kucha ndefu ndio chanzo cha...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Leo Novemba 10, 2017 inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya kesi ya matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na mwanamitindo Hamisa Mobeto dhidi ya msanii maarufu nchini, Nassib...
Nimeshindwa kujizuia nimeona nitie neno kidogo kuhusu huyu dogo baada ya kusikiliza mapini yake non-stop.
Kwanza kabisa hakuna kitu kizuri kama kufanya kitu unachokipenda na uwe unakijua, huyu...
Bado ...yule mdada mrembo aliyeolewa na proffesional footballer harusi kubwa ya kifahali ati ameolewa tena na bw mdogo yule?kwa lipi hasa?amekosa nini mrembo yule?
Bado siamini huenda ni movie...
Kadri siku zinavyozidi kuyoyoma, jina la hamisa mobetto linazidi kuruka anga za kimataifa. Scandal ya kuzaa na diamond na bifu lake na Zari boss lady limemuweka mrembo huyo kwenye ramani nzuri ya...
Habari za ijumaa wakuu na wadau wa jukwaa hili wasalam
Kuna hii tabia ya baadhi ya wasanii wa Tanzania hasa wa zamani kung'ang'ania kurudi kwenye game wakati mda wao umeshapita.
Kila kitu na...
Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada...
Baada ya Rose Muhando kupotea kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa muziki wa injili, aliyekuwa meneja wake, Alex Msama amefunguka kumrudisha kwenye chati kama zamani kwani hivi sasa amebadilika...
Ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja yabainika kuwa reel na sio real, Uwoya ampora Wema dili la million 400 toka kituo kikubwa cha TV barani Afrika !
Nyuma ya sarakasi ya kile kinachosemekana ni...
Baada ya kutafuta mtoto kwa kipindi kirefu hatimaye, mwanamitindo happiness magese maarufu kama ladivamillen amepata mtoto wa kiume aitwae kairo.
Hongera sana Millen Mungu ni mwema na wakati wa...
kusema ukweli huyu mtangzaji wa power break fast yuko vizuri sana I think IQ yake na emotional intelligence yake iko juu sana compared to her colleagues......Big Up Mdada
Nani mbabe & nani mrembo kwa hawa watu watatu
1. Kalapina
huyu mshikaji anafahamika kwa ukorofi lani nguvu jiwe.. ona video hapo chini alivyo mfanyaga chidbeenz maisha club
Mzee wa kikosi...
Siku za hivi karibuni msanii Joti aliweka mtandaoni picha akiwa na binti yake. Watu wengi walidhani huyo binti ni mtoto wa joti na mkewe ila mchekeshaji steve nyerere kwa kukurupuka kaandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.