Wakuu habari zenu humu. Nina shida ya nyimbo ya Jide, Nuru. Kwa mwenye link mtandaoni anipe. Nimeitafuta sana mitandaoni bila mafanikio. Kwa mwenye nayo nikimpa hata namba anirushie whatsaap...
Mange amshambulia Lulu juu ya kesi ya kanumba. Inasemekana sababu kubwa ni ukaribu wa lulu na hoyce temu ambaye ni adui wa mange.
Mange alipotoa ushauri wa lulu kukaa nje ya media alitegemea lulu...
Mamlaka ya udhibiti wa Chakula na madawa TFDA jana imetoa tamko la kuzuia utumikaji wa maji ya Lady Jaydee mara moja baada ya taratibu za usajili wa maji hayo katika mamlaka hiyo kutofuatwa...
Bora rais wa wambea soudy tangu mwanzo hakuamini ubuyu huu ulioonesha dalili za uchachu
Msanii keisha katoa post akiwashukuru wana tip top wenzie kwa ushirikiano walioutoa kukamilisha shooting...
Am hip hop fans from all over the world, kwa Tanzania ukiachana na fid q, mwanafa, niki wa wote na wengne kibao KUna wanasanii hawa wawili, young killer na yangi d almost watatu iv lkn huyu...
Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana...
Nilikua najaribu kumtazama mbwana samatta leo nikagundua jamaa sio kwenye mpira tu hata kwenye mavazi yuko vizuri sana tena kushinda hawa mabishoo wa bongo fleva, Na tena sio mavazi tu hata Gari...
Kwa habari za kunyapia nyapia zinadai kuwa video vixen mwenye mvuto wa hali ya juu nchini Tanzania na Africa kwa ujumla Tunda Sabasita amebeba ujauzito wa msanii Diamond Platinums
Wawili hao...
Mbunge wa Mtera mh Lusinde ( Kibajaji ) amesema katika ujana wake alikuwa ni muuza kahawa maarufu pale Kawe ambapo alijulikana kama Stone. Lusinde amesema yeye elimu yake siyo rasmi na kwa hiyo...
Huyu bidada anaitwa Dati baadhi yetu tutakuwa tumemskia saana au kidogo. Anafanya vizuri kimziki nchini Sweden. she's the best anachonifurahisha anaueneza Utanzania kupitia mziki wake hasa kwenye...
This is too much huyu mama jamani kuweza kuishi nae kipaji haswaaa
Walianza na wema akamchambaa,akaja zari alikua anapigwa madongo
Leo zamu ya hamisa kaaah
Au anataka mwanawe amlale mwenyewe...
Mambo vipi wadau,mimi naitwa Snitch2020
Bila kupoteza muda ningependa kuwaambia kuwa nimevutiwa sana na style anayoitumia msanij huyu CheupeDawa. Video yake imetulia na Inaendana na maudhui ya...
Tena zote mbili zimeninginia anakwambia asipovaa anajisikia vbaya
Ni list kubwa wasani wanavaa heren,tena mbili na kuninginia
Ila huyu kijana kanishangaza
Eti hobi
Akihojiwa EATV katika...
Jana usiku huko Element ambapo msanii Omarion alikua akitumbuiza, Mkuu wa Mkoa wa DSM alikuepo pia na Kutokana na habari zilizosambazwa na Mangekimambi ni kwamba kulitokea na mgogoro kati ya Mkuu...
Helo wana nzengo wa humu jukwani.
Hii tuite ni bahati kwa mwana dada Irene uwoya kuolewa mara mbili tena kihalali kabisa. Ya mwanzo kanisani na sherehe ya kufa mtu na hii sasa ya kiislamu.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.