Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Kuna hii lable kubwa nchini ambayo ilikuwa ndo habari ya mujini hapa Tz.Kwa sasa label hii masikini wa...
Wajameni, babie machachari na mwenye muonekano wa aina yake na host wa kipindi ngazi kwa ngazi yuko wapi tena.
Huyu alikuwa host wa kipindi cha mkasi na baadae kuwa ngazi kwa ngazi katika...
Kumekuwa na hisia katika vyombo vya habari vya Afrika Kusini baada ya mwanamuziki mmoja wa taifa hilo Emtee kwa bahati mbaya kuonyesha uume wake katika mtandao wa Instagram Live.
Chombo cha...
Nikiangalia na kupitia matukio na misukosuko yote ambayo couple hii imepitia na ukizingatia kua nia ma staa ambao kila siku hawaachi kuongelewa kwa ubaya na uzuri pia nadiriki kusema kua hii ndio...
Irene Uwoya kufunga ndoa tena au ni movie
Picha hizi kwenye video hii zawaacha mashabiki njia panda
please dont forget subscribe for more videos za matukio mbali mbali
Msanii Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa ndani ya miaka miwili au mitatu inayokuja anaona wazi muziki wa bongo fleva unakwenda kufa kama ambavyo tasnia ya filamu bongo ilivyokufa kwa kile...
Diamondplutnamz aliamua kumfungukia mzazi mwenzake maneno haya baada ya Zari Bosslady kumpost Diamond kwenye account yake ya Instagram kumpongeza baba watoto wake kwaTunzo aliyoipata ya Universal...
Msanii wa Bongoflavour Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, mambo ya mapenzi ameyaweka kando hivyo watu aliokuwa akitembea nao ‘vi-ben ten’ sasa basi.
Shilole alisema kuwa, akiyaweka...
Kama kichwa cha habari kinavyosema:
Universal Music Group wamemtunuku tuzo ya 6x PLATNUM award
hit maker wa "HALLELUJAH" Diamond Platnumz uko South Africa kwa wimbo wa "I want Marry you"...
Kwa mujibu wa mapicha na mavideo yanayozidi kusambaa ni kwamba kwa sasa huko south familia ya diamond ni raha, amani na furaha tu iliyotawala, yale majanga yote kwishilia mbali au waweza sema...
Danube home wamuandikia hamisa mobetto barua afute video ya tangazo lao kabla hajachukuliwa hatua Kali za kisheria kutokana na dhumuni lake la kujipatia maslahi binafsi na kutaka kuichafua kampuni
Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu lmepinda...
Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi hawana ubunifu nakumrushia bomu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro...
Mume mtarajiwa wa msanii ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mabinti kutokana na juhudi zake za kupambana na maisha, Zuwena Mohamedi au Shilole, ameweka wazi matarajio ya kumpeleka Ulaya kula 'honey...
leo ndo happy birthday ya mjomba...alizaliwa 27/10/1978
hivyo anatimiza miaka 39.
hebu tupia mstari wake mmoja wa kwenye mashairi yake unaokukosha/unaoukubali sana....
'Usitafute njaa ya kumla...
Wakuu.
Haki ya Kanumba italindwa na mwenyezi Mungu, Kanumba alifariki ndio aliko tumuombee na haki dhidi yake itendeke, sio Seth na mama Kanumba ndio wanaoumia tu hapana hata wengine tunaumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.