Habari wakuu,
Leo ni siku kubwa ya mchekeshaji wetu maarufu Joti bwana huyu ameamua kufunga pingu za maisha.Ndoa hiyo imefungwa kanisa katoliki Magomeni.Bwana na bibi harusi wamenoga sana...
Diamond Platnumz ni msanii wa 19 Duniani Kati ya wasanii wanaosikilizwa zaidi kwenye kituo cha BBC RADIO LONDON,Uku WizKid toka Nigeria ikishika ya 12.
Uku nafasi ya kwanza ipo na Ed Sheeran na...
Kumekuwa na watu hapa wakimkandia marehemu kanumba kwamba alikuwa eti anakabaka ka lulu,kwanza nianze kusema ya kwamba hata bongo movie wengi wanajua mengi na mtaani yanaongelewa,ni kweli lulu ana...
Msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya Sasa rasmi amebadili Dini yake ya awali na kuwa Muislamu na kutumia Jina la Sheila. Msanii huyu amechukua uamuzi Huu baada ya kupata bwana Mwenye Imani ya...
Baada ya kukana kwa kipindi kirefu kuwa na ujauzito hatimae aika aonyesha hadharani tumbo lake
Inasemekana ni ujauzito wa Nahreel ambaye ni mpenzi wake na pia msanii mwenzie kwenye group la...
Harusi ya mchekeshaji mahiri nchini Jotti itaonyeshwa live na Azam Tv kupitia chanel yake ya Sinema Zetu kuanzia saa tatu(3) kamili usiku live kutoka mlimani City.
Joti ameahidi burudani na vitu...
Matukio katika picha mchekeshaji joti akiwa na mkewe mtarajiwa kwenye sendoff paty yao. Jumamosi hii ndio harusi babkubwa ndani ya ukumbi wa mlimani city
GAZETI LA GLOBAL PUBLISHER HIVI KARIBUNI LIMEJULISHWA NA MSANII LULU AKA MAMA MAUCHI KWAMBA SI YEYE BALI AKIVAA NGUO NDEFU MAPAJANA MAKALIO YANAWASHWA..KAZI KWAKO WEWE UNAWASHWA NINI UNAENGANGANA...
kwa kweli bila kupepesa macho kwa Tanzania msanii wa kike akuwahi kutokea sijaona alofika level za ray-c huyu Dada alikuwa kafiti kila idara alikuwa anajua ukuutumia mwili wake macho kama anakuita...
Hii kataeni kubalini ila GENTAMYCINE sijawahi kukosea kuanzia Timu ninayoishabikia bora ya FC Barcelona, Mchezaji ninayemshabikia Lionel Messi, Mtandao bora ninaoupenda kuliko yote wa JamiiForums...
Msanii Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Yule nigga kutoka state chris brown amedai anamzimikia kinoma noma mwana dada jlo na anapenda awe mpenz wake...
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jokate Mwegelo amesema kuwa, atahakikisha anapambana vilivyo kwa ajili ya kutetea haki ya mwanamke pamoja na watoto kwa ujumla.
Akizungumza na Star Mix, Jokate...
Mrembo mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ ameendelea ‘ku-shine’, safari hii zimevuja picha mpya akiwa bafuni na mpenzi wake aitwaye Bakari Kila.
Chanzo makini...
=> "Nilipofika kwa marehemu 'Kanumba' nilimkuta yupo kwenye dressing table, nilikaa kitandani kwa kuwa hapa kuwa na sehemu ya kukaa"- Lulu
=> "Nilikuwa nataka kutoka ila marehemu 'Kanumba'...
Msanii wa kundi la Weusi, Nikki wa Pili ameeleza vipaumbele vyake nane iwapo siku moja atakuwa Rais wa nchi.
1. Kikaoo kikubwa cha serikali yangu sio baraza la mawaziri itakuwa mkutano mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.