Amesema kwamba kuanzia leo hadi kufa Kwake atakuwa anaitwa au atakuwa anajulikana hasa kwa majina haya mapya ya Hassan Ngoma Mange Kimambi Dotto Bahemu. Nadhani hili ni ' Jiwe ' kubwa alilolirusha...
Kuna kipindi hapo nyuma alikiba ali potea kabisa, Hakuwa tena yule tuliyemzoea akitoa kazi zake bampa to bampa, Nakumbuka alitoaga ngoma ya dushelele ndo ukawa mwanzo wa ukimya uliostua wengi...
Kwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma..
"Ruge Mutahaba amsimamisha kazi Hassan Ngoma siku ya juzi October 19 2017 kwa...
Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na...
Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" akijiandaa kuanza kujibu mashtaka katika kesi ya kudaiwa kumuua bila kukusudia mwigizaji Steven Kanumba.
Msanii Lulu Asema Kanumba Akiwa kalewa anampiga Sana.
Elizabeth Michael Kimemeta
Mkakati wa Lulu kujitoa kenye makucha ya hii dola kandamizi sasa umeanza kuchipuka pale ambapo mshitakiwa wa hii kesi ya mauaji alipokerwa pale mahakamani alipokuwa...
Huyo kijana anajitahidi sana kuanzia ile nyimbo ya bongo bahati mbaya,,sasa hiv naona kaja kiutani utani. ,,video zake si haba najua kucheza na camera halaf ile cheza yake huku akirap duu so...
Malkia wa bongo movie Elizabeth Lulu Michael atatakiwa kupanda mahakamani tena Oktoba 19 mwaka huu kwa ajili ya kusikiliza tena kesi ya mauaji inayomkabili. Lulu ambae anakabiliwa na kesi ya...
Model ambaye mara nyingi anapenda kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa anajutia akifikisha umri wa miaka 50 hajui maisha yake yatakuwaje.
Sanchi aliiambia Star...
Wale wambea wenzangu team zarimond,sijui watahamia wapi maana story za chini kwa chini mahaba yamerudi na yule wa south kapumzishwa
Yasemekana mpira umerudi kwa kipa(wema)ila kwa sharti la...
Habari wakuu
Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB,
Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa...
Ilikuwa ni desturi ktk kila tukio la kitaifa au laaa kumuona Mpoto akitumbuiza na kutunzwa na Sizonje iwe kwenye lile jengo jeupe au pengine!
Siku hizi simuoni tena Mpoto akialikwa upande wa...
Hivi kati ya Yound Dar es Salaam na Fid Q nani Bongo bahati mbaya?
Mwana fa safi sana kwa ngoma yako..ila bongo bahati mbaya kaua..huyu jamaa sema tu kwakuwa Tanzania tuna ombwe la redio...
Mrembo wa Tanzania na Kada wa Chadema Wema Sepetu ametoa ya Moyoni kwa nini hakwenda kumuona mapema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi septemba 7 ni kwamba asingeweza...
Ikiwa imebakia siku moja kuanza kusikilizwa tena kwa kesi ya mauaji ambayo inamkabili, msanii Elizabeth Michael (Lulu) amesema yupo tayari kukabiliana na kesi hiyo, ambayo alijua ipo siku itarudi...
Julitha Kabeta ni mrembo atakaye wakilisha Tanzania mwaka 2017 katika mashindano ya Miss World. Japo imeacha sitofahamu nyingi kwa wadau wa urembo kwa jinsi alivyopatikana. Tunamtakia kila la...
Baada ya kutoka mahakamani amesikika akiulizwa mama una gari akasema akha tunapanda bajaji
Hii kesi naona bora ingefutwa tu
Pili.lulu kakosea sana angejaribu kuweka ukaribu na mama kanumba...
Habari kwenu nyote!
Napenda kupongeza pande zote mbili kwa kazi nzuri ya kufikisha burudani kwa watanzania hasa wakati huu ambao sote tunakabiliwa na msongo wa mawazo ama kwa hakika burudani zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.