Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hii ni picha waliyopiga kipindi mapenzi ni moto Kama Ilivyo kawaida Wabongo tupe title habar tutajaza wenyewe. Kwa caption hizi za Uchebe mambo yanaonekana sio mazur Yeye na Shishi baby.
9 Reactions
140 Replies
26K Views
Wolper amesema hawezi kuvumulia ujinga wa kunyanyasika na kuteseka kwenye uhusiano na mwanaume kwa kuogopa jamii kumsema ubaya wakati mkosaji akiwa ni mwanaume "Kila mtu anatakiwa kuwa na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Maajabu kwa baadhi ya wanawake wa kitanzania pamoja na matusi yote ya Mange hasa yakiwalenga wanawake lakini hao hao ndiyo wapambe na mashabiki wakubwa wa mwanadada huyo. Ndiyo maana na yeye...
9 Reactions
134 Replies
15K Views
Daktari amesema alipompima Kanumba kiwango cha sukari kilikuwa cha kawaida lakini alipompima shinikizo la damu hakupata kabisa mapigo ya moyo. Daktari Paplas Kagaiya aliyekuwa akimtibu msanii...
8 Reactions
110 Replies
49K Views
Kama kawaida ya Ali Kiba huwa hapendi kushindwa chochote na watu wa Madale. This time around kamjibu Mond lakini kipindi hiki sio mziki tena!
1 Reactions
87 Replies
16K Views
Ne-Yo Azibua watu Maskio kwa anachokiona kwa Diamond Platnumz Apanda Stegini na biti ya Hallelujah
1 Reactions
8 Replies
2K Views
KAMA HUMJUI MUNGU DUNIA ITAKUTESA! Kwa Kanumba yule nimjuaye mimi. Na Lulu yule ninayemfahamu. Doooh! Ningekuwa Jaji wa kesi ya Lulu, ningekuwa nasikiliza kesi kama simulizi fulani ya mapenzi...
15 Reactions
32 Replies
9K Views
Nakukumbusha tu kuwa Diamond kwa sasa amepoteza mashabiki wengi sana baada ya kuonekana ana mahaba na chama cha kijani hadi kufikia hatua ya kuimba nyimbo za kuwahamasisha watu wakae kimya dhidi...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Bila haka siku moja ungependa kuhudumiwa na staa unayemhusudu. Taarifa zikufikie kwamba msanii Ambwene Yessaya maarufu kama AY amefungua bucha la kuuza nyama na unaambiwa yeye ndio muuzaji. Picha...
8 Reactions
46 Replies
8K Views
Naomba tufanye tafakuri tunduizi ( critical thinking ) kabisa juu ya hii Kauli ' Tata 'kabisa ambayo Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu na Nne Mama Salma Kikwete aliisema / aliitoa katika Kilele cha...
8 Reactions
70 Replies
10K Views
Utajiri wa mwanamuziki Jay Z ulipanda kwa asilimia 30 mwaka jana na kufikisha utajiri wake hadi $810m (£626m), kwa mujibu wa jarida la Forbes. Lakini kuimarika kwa utajiri wake hakukutosha...
2 Reactions
30 Replies
14K Views
Mambo vipi waswahili wenzangu. Mimi naitwa Snitch ni mmiliki wa account zaid ya 39 instagram lakin sina hata account moja ya bank. Nisikuchoshe kwa porojo ila naomba nikwambie wewe Dada mange...
2 Reactions
84 Replies
20K Views
Kama we ni mpenzi wa Wema Sepetu angalia video hii uone habari zote zinazohusiana na Reality Show ya Wema ambayo amekuja na Season 3 ya In My shoes Subscribe kwenye channel ya wasanii baada ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Harmonize aeleza kuhusu taarifa inayosambaa ya yeye kurudiana na Wolper sio kweli, yeye anachojua ni kwamba wolper anaupenda muziki wake ndio maana kaupost na kushare kwa watu. Pia ameeleza mpenzi...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ali Kiba MSANII wa muziki wa Bongo Flava, Ali Kiba, anadaiwa kuhojiwa na polisi kwa maelezo ndiye aliyempa Elizabeth Michael Lulu msaada wa usafiri (lifti) baada ya kutoka kwa Steven...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Watu wengi watahojiwa kuhusiana na kifo cha The great.lulu amtaja ali kiba ndiye aliyempa lift kutoka kwa marehemu kanumba.
0 Reactions
63 Replies
25K Views
Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1. Life is not fear aisee....
5 Reactions
66 Replies
9K Views
Back
Top Bottom