Wakubwa hiki kitu naona imenifika kohon sababu ya hawa jamaa wa Eatv radio kuwa na kuhelehele cha kumhoji na kumpost nshu za calisah kila siku yaan kila wakipost huko twitter ni kuhsu calisah tu...
Mambo vipi wapendwa. Napenda kuwapa tetesi zinazoabza kusambaa mtaani kuwa mange hajulikani alipo na account yake ya insta imedukuliwa na "watu wasiojulikana" hii ni baada ya kuanza kupost matusi...
Nashangaa Tanzania tulivyo. Hivi karibuni msanii wa mziki Diamond Platnumz ametwaa mataji kama mawili huko Marekani ambayo ni moja ya kuletea umaarufu nchi kimuziki pia kuonesha kuwa anaweza kwa...
Yaaani kiukweli mwanzoni hiki kipindi cha shilawadu kilikuwa kinaonekana ku take over vipindi vya burudani kiasi kwamba ikaonekana kwamba kipindi pinzani cha ijumaa Friday night live chaliii...
Ama kweli WCB ni kisima cha burudani ,huwa hawaaribu kazi hata siku moja kila ngoma wanayotoa ni fireeeeeeeee.
Hii ngoma mpya ya Konde boy ft Korede Bello ijulikanayo kama Shulala ni moto wa...
Sina uhakika kama hii thread ipo sehemu yake, ila mambo kama haya sisi watumishi tunakutana nayo sana. Siwezi kuita ni IBilisi. HUu ni uumbaji wa Mungu. Ila tunahitaji maombi. Sisi Ni binadamu pia.
Amanii eh wakuu account ya Mange Kimambi haipo tena insta. Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio Mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimaye na mchana...
Inafahamika kuwa Zari ni mwanamke bilionea mkubwa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla lakini cha kushangaza hana bodigadi badala yake bodigadi anayetumiwa na Diamond ndio huyohuyo anatumiwa na...
Heshima kwenu waungwana
Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili na kusemekana kuwa ni wa chibu, kelele zimekuwa nyingi, watu hawapumui kiasi kwamba huyo mtoto kashushwa km...
MFANYABIASHARA maarufu wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ mchana wa leo Jumamosi alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City alipokwenda kuzindua duka jipya la samani, Danube.
VIDEO...
Mabinti maceleb wa kitanzania wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Zari.
1) kuwa na mahusiano kwa malengo
2) kuzaa kwa malengo
3) kujua kutumia fursa ya mwanaume uliye naye.
Leo mtu anatoka anandika...
Mambo vipi wadau. Mimi naitwa Snitch2020
Katika pita pita yangu kwenye motandao nlikutana na video ikimuonesha Gigy akiclaim kuwa Kuna nywele alizinunua M6. Kiukweli imenishangaza ana lakini baada...
Habari,
Msanii wa mziki wa kizazi kipya aliyetamba na wimbo wa Nitarejea alioshirikishwa na Diamond, Hawa Said ameangukia mikononi mwa wachungaji wapiga dili ili wamuombee baada ya kuathirika...
Calisah amethibitisha yeye anatoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa, kwa sababu wanawake wengi wanapenda alivyo handsome Kwahiyo mbegu yake ni dili. Kwa mwanamke unayetaka mnakubaliana...
Sema korede bello kidogo amvue kofia mdogo wngu harmonize, maana kanaimba kama hakataki lakini shughuli yake sasa ni mtafutano. But all in all very fantastic song, congrats sana mdogo wangu...
Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube...
Habari wanafamilia JF.
A couple of days back, I was watching some local news streams... nikawa namuona several times... and I was like ooh huyu binti why nisim-link to BBC Swahili or MTV Base S.A...
Mashabiki wa Diamond platnumz hawataki mahusiano yao na zari yaishe, Hii imethihirika baada ya mashabiki wa diamond kumuombea msamaha kwa zari alipokua GSM mall.
Lakini naona kama Zari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.