Msanii wa muziki wa Injili, Emanuel Mbasha ambaye wengi humsifia kwa utanashati wake, amesema anamshukuru Mungu kwa kuonyeshwa kupendwa, baada ya mabinti wengi kumtamani kimapenzi.
Akiongea na...
habari wadau.
mimi ni shabiki mkubwa wa diamond platnumz.. na wcb kwa ujumla..
kuna mtu hasikiki sana anaitwa mwarab fighter.. huyu jamaa anajua sana kutimiza majukumu yake..
niliangalia video...
Habari wadau..
Zari kaja Tanzania kuzindua duka la gsm..
Ushauri tu kwa diamond na wcb management.. mtumie hiii fursa kupata kiki na kupiga hela...
Nawaza tu kama diamond akaenda mcity leo na...
Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako.
Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!
Jina lake...
Mambo vipi wadau?
Leo asubuhi wakati nawasha redio nikasikia wimbo mpya wa Aslay unapigwa Clouds. Baada ya wimbo kuisha nikasikia Fredwaa akisema kuwa Dogo amesajiliwa kwenye Lebo ya Alikiba...
Hapa katikati Aslay anakuja kwa Kasi kiasi cha kutishia ufalme wa kiba na diamond.
Ile show ya Mwanza tigo fiesta ilitoa majibu kuwa ASlay ni anakuja kuvunja ukuta wa kifalme wa kiba na diamond
VIDEO : @rayvanny afanya Kufuru na warembo huko Miami Marekani... Tazama hii Akichekelea mrembo@iamveravendetta anayecheza Nusu Utupu.... Full Kujiachia.
Ikiwa bado anaendelea kufanya matanuzi na...
Je hawa ni Mtu na Baba yake au ni Mtu na Mpwa wake au ni Mtu na Mdogo wake? Nauliza hivi kwakuwa wamefanana kiasi kwamba ni vigumu kutokuamini kuwa labda wana mahusiano makubwa ya Kindugu na...
Msanii wa kimataifa toka Nigeria Davido ametajwa moja kwa moja kuhusika na kifo cha rafiki yake aitwao Tagbo.
Katika maelezo yake ya mwanzoni Davido akiwa polisi alisema hausiki na kifo cha Tagbo...
Huyu dada namkubali kweli as a person. Yuko so dope! She lives her life na yupo kinyamwezi ile mbaya. Mjanja.
Namkubali sana huyu demu as a person!
WHAT ABOUT U ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.