Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hitmaker wa Seduce Me, Alikiba amefunguka juu ya mahusiano yake na Mange Kimambi. Mara kadhaa Mange amekuwa akimpa support kubwa msanii huyo huku akimtetea kwa kila hali endapo hali ya...
10 Reactions
30 Replies
9K Views
Kati ya Young M.A na Nicki Minaj nani anafanya hip hop?
0 Reactions
40 Replies
10K Views
Kamati ya Miss Universe Tanzania chini ya Mkurugenzi na muandaaji wa Shindano hilo Maria Sarungi-Tsehai inawakaribisha Warembo wote kwenye usahili wa MISS UNIVERSE Tanzania 2017. Vigezo ni: -...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamuziki Diamond Platnumz amezidi kuonesha ubora katika muziki wa Bongo Fleva kwa kushinda tuzo nyingine hapo jana Oktoba 9,2017. Usiku wa Oktoba 8 kutoka Dallas huko nchini Marekani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu.. Katika miaka ya 2000 ndio nilianza kumsikia huyu dada machachari repota wa redio one. Aisee kumbe alifariki kuna mdau mmoja ndio ameniambia Nilidhani aliacha hii tasnia
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wadau? Naomba kujua rangi rasmi za suti ambazo zinatumika na watangazaji wa tv..Je? Leo mtangazaji wa itv kavaa suti ya pinki ni sahii??
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Jionee mwenyewe walivyojaribu kumzingua mondi lakini baada ya kupewa mziki mzuri wenyewe walilewa kwa dozi tamu ya Diamond's Music
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inasemekana Wema Sepetu amerudiana na Diamond na Anapika na Kupakua ndani ya mjengo wa madale na inasemekana Diamond na Zari wameachana issue kubwa ikiwa ni swala la watoto kuwa sio wa diamond...
3 Reactions
55 Replies
17K Views
Diamond alivyopokelewa Uganda Kampala
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa. Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki...
2 Reactions
51 Replies
9K Views
Nadhani wengi wenu humu mnamfahamu huyu msanii wa miondoko ya Kufoka wanaita HIP HOP, alikuwa moja ya matunda ya Bongo star search.. Ni muda sasa sijamsikia na Wimbo wowote ule mpya ...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Herehoa?, Kutoka vyanzo vya kuamkinika kabisa vinadai aliyekuwa mume wa star wa bongo movie aunt Ezekiel, anaejulikana kwa jina Sunday Demonte aachiwa guru, Swali:Hivi kumbe mkata viuno alichukua...
2 Reactions
44 Replies
11K Views
Daaah waganda siyo watu wa mchezo mchezo wamegoma kabisa kuhudhulia show ya domo, na walioenda wanaiponda vbaya mno kuwa ilikuwa ni show mbovu kuwahi kutokea.....mwenye picha zaidi atusogezeee.
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie...
4 Reactions
70 Replies
14K Views
Kibwana Dachi ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari Mwandamizi kiukweli napenda sana kwanza anavyochambua taarifa na habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Kitu kikubwa ambacho anacho huyu...
11 Reactions
81 Replies
11K Views
Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto. Wito huo wa Diamond...
14 Reactions
566 Replies
68K Views
Tarehe kama ya leo Octoba 7,1951 alizaliwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Hongera sana mzee Kikwete .......lakini umetuachia donge watanzania
3 Reactions
99 Replies
12K Views
Habari wapendwa.. Kwa taarifa nilizozinyaka hivi karibuni hukooo Instagram ni kuwa kipenzi cha wengi ( najua wengi mtabisha) si mwingine mrembo wetu Miss TZ 2006 na CEO wa kampuni ya ENDLESS...
5 Reactions
134 Replies
28K Views
Back
Top Bottom