Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Aisee Fiesta ni show ambayo inakutanisha wasanii wakubwa sana tena wengi kwa pamoja lakini ni show yenye hadhi ndogo kabisa kuwah kutokea. Ni show ambayo mtu mwenyebkipato hutataka kuhudhuria. Ni...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Mimi Mars amesema kwa sasa anatamani Jux na Vanessa Mdee warudiane. Muimbaji huyo ambaye ni ndugu wa damu na Vanessa, katika mahojiano na kipindi cha Clouds E pia...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Afrika Kusini imetengeneza sanamu ya mwanamuziki Brenda Fassie na kuiweka nje ya jumba la makumbusho, ili kumuenzi Brenda Fassie ni mwanamuziki aliyetamba sana nchini South Africa na vibao kadha...
5 Reactions
158 Replies
19K Views
JOTI Serengeti Usiogope Kula maisha Coz Maisha yana tabia ya kutula sisi Kula hela na be be
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Alikushauri nani utoe wimbo wa pili harakaharaka ilhali 'MFALME' , ilikua bado maskioni mwa watu. Ulikurupuka au kurupushwa.? Huu wimbo ulofanya na KIBA si level zako,, kiba kabana pua...
0 Reactions
78 Replies
13K Views
Nilimsikiliza sheikh kipozeo wakati akimzungumzia dimondi Sina shida na alichosema kuhusu huyu mtoto wa Kiislamu bali kilichonifanya niandike haya ni maneno yake kwamba dimond kuvaa msalaba...
46 Reactions
299 Replies
39K Views
Mama yake Dogo Janja Zaituni Omary amepigiwa simu na DJ Hazuu na kufunguka kuhusu sintofahamukuwa mwanawe kaoa kweli ama vipi Mama huyo amesema nin kweli mwanawe ameoa na alitambulishwa kwa...
0 Reactions
62 Replies
26K Views
Entourage ya dogo Janja tayari tumetia timu hapa Clouds FM, mimi nikiwa kama mpiga picha wa dogo Janja sasa hivi tunasaini kitabu cha wageni tayari kuingia kwenye kipindi. Kaa hapa hapa kwa...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Faraja Kota ambaye ni mke wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM. Lazaro Nyalandu kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza jinsi anavyojawa na hofu baada ya mfululizo wa matukio ya wiki...
18 Reactions
50 Replies
19K Views
Miaka ya zamani kidogo Kikundi cha ZE COMEDY cha kina Masanja -mkandamizaji na wenzake kilikuwa na umaarufu na hata kupita baadhi wasanii wa muziki wa dansi, bongo fleva na hata bongo movies...
5 Reactions
41 Replies
6K Views
Kwanini Wasanii wengi ( japo siyo wote ) hasa wa Nyimbo / Waimbaji ( wa Bongo Fleva ) wanaotoka maeneo ya Kinondoni na Ilala haka ' Kamchezo ' kabaya kanakochezwa na ' Wanaume ' tupu katika mahala...
3 Reactions
52 Replies
16K Views
Yono yawapa siku 14 Babu Tale na Nduguye kuweka wazi mali za TipTop lasivyo watafungwa. Ni baada ya kutomlipa Sheikh Mbonde fadia Tsh 250m.
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Akaamua atumbuize mwenyewe
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Bill Gates - (William Henry Gates III) Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft, mtu tajiri sana duniani na mwanzilishi wa mashirika yasiyo ya kiserikali. Bill Gates ni mwanzilishi, mwenyekiti na...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Mzazi mwenziye na mwanamuziki Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amefunguka kuwa kama asingepitia misukosuko ya kimapenzi na mzazi mwenziye huyo mpaka kuachana basi...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwanamuziki Keith Wilder(65) amefariki dunia. Wider alikuwa akifanya vizuri na bendi yake ya Heatwave kipindi cha miaka ya 70. Kupitia bendi yake hiyo wameshafanya hits song kama “Always and...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kweli kabisa kaka Rich Mavoko umepwaya kabisa kama tulivyotegemea ungefanya vizuri zaidi kumbe imekuwa kinyume chake. Tatizo siyo kufanya wimbo na msanii wa Nigeria au popote pale hapana hata...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Back
Top Bottom