Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ubuyu wote uko hapa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
64 Replies
16K Views
Unaweza kukwepa matone ya mvua lakini siyo kamera za Global Publishers Ltd, zinapoamua kukufanyia kazi, ukibisha waulize Nasibu Abdul ‘Diamond' na mke wa mtu, Irene Uwoya. Diamond na...
0 Reactions
58 Replies
17K Views
Kwa wanaomfahamu Roma mkatoriki wa mwambie kama nia yake ya kwenda Zimbabwe ingapo,huu ni wakati mzuri saana nitagharamia cost zote isipokuwa za kurudi tuh..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Msanii Afande Sele amesema kitendo cha watu kumwambia kuwa anafanya vibaya kumsema marehemu (Steven Kanumba) ni kitendo ambacho kimepitwa na wakati na mila zisizofaa. Afande Sele ameyasema hayo...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Baada ya Band ya Msondo Ngoma kutaka ilipwe shilingi milioni 300 na kundi la WCB kwa kutumia bila ruhusa vionjo vya wimbo wake kwenye wimbo wa “Zilipendwa” Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
SNURA: Chochote ukiamua utaweza hata mm nikiamua naweza tena sana bado tu sijaamua..... Kwanza haya yalikua ni mazoezi tu,,,,,,unajua uswahilini kwetu siku hizi shughuli bila kibao kata hainogi...
1 Reactions
49 Replies
9K Views
ni tukio jingine lililosubiriwa sana na Watanzania pia wakitaka kujua matokeo yatakuaje kwa Watanzania walioshiriki kwenye tuzo hizo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS 2017 ( AFRIMA) Nandy Good news ni...
5 Reactions
42 Replies
11K Views
Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefika Mahakama ya Kisutu leo kwaajili ya kesi yake inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.Ambapo Wakili wa serikali ameihairisha kesi hiyo mpaka Novemba...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Mama wa Irene Uwoya ameangua kilio kwa kufiwa na Ndikumana Hamadi Katauti na amesema ni mkwe wake kipenzi na alikuwa kama mwanawe na bado walikuwa wakiwasiliana na juzi alikuwa anawasiliana nae na...
1 Reactions
126 Replies
25K Views
Kama ukiwa makini na mfuatiliaji mzuri sana wa Vyomba vya Habari hasa vya Tanzania na ambavyo kwakweli kwa sasa ndivyo vinafanya vizuri vya Clouds fm na Efm utagundua ya kwamba wanachokifanya sasa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ile ndoa ya staa wa bongo movie Irene Uwoya aka Oprah imevunjika. Ndoa hiyo imedumu kwa muda wa miezi 18 tu. Inasadikiwa ndoa hiyo imegharimu Tshs 80,000,000.00. Hebu cheki mahojiano haya kati ya...
0 Reactions
141 Replies
35K Views
Msanii Gigy Money ambaye hivi karibuni ameua gumzo na kushangaza watu baada ya kuona mahali anaposihi, amesema ni kweli sehemu ambayo anaishi kwa sasa hapafanani na yale anayoyafanya, lakini hata...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya amedai wanaume wenye sura ambazo hazina mvuto wanakuwa wanajituma sana kunako 6 x 6 kwa kuwa wanaogopa kuachwa, amesema wanaume wenye sura za kike muda...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Fid amesema Irene Uwoya anakula mchicha mzuri ndio maana akaweza kuwaona wanaume wagumu kwa jicho lingine, hata hivyo hamedai hana mpango wa kumtokea
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Aliyekuwa mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Uwoya, mcheza soka kutoka nchini Burundi Hamad Ndikumana, ameonyesha kujibu mapigo baada ya mwenza wake kuonekana kuolewa, kwa kupost picha...
3 Reactions
64 Replies
13K Views
Siku moja baada ya Elizabeth Michael 'Lulu' kuhukumiwa kifungo cha kutumikia jela miaka miwili kwa kosa la kuua bila kukusudia, mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Frora Mutegoa amesema...
10 Reactions
114 Replies
20K Views
Katika Ukurasa Wake wa FaceBook. Nakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi kushinda taji la ufalme wa rhymes Tz na kukabidhiwa ile gari maridadi sana ya zawadi aina ya...
35 Reactions
185 Replies
23K Views
Tuwataje hapa na nyimbo zao. Mimi msanii wa kwanza ni Motra the Future kaimba nyimbo kama sina koloni, uswazi etc
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti...
4 Reactions
64 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…