Mara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu.
Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti...
yaan kila nikisikiliza huu wimbo na mzuka alotumia namlaani aliye muua huyu lucky dube
vile unawezaje kumuua mtoto wa dandu jaman
unamuuaje michael jackson jamani watu hamna utu
Kuna msemo unasema mafahari wawili wapiganao ziumiazo nyasi, huu msemo naufananisha na upinzani wa kimuziki uliopo baina ya wasanii wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva, nchini Tanzania, Alikiba na...
Nimekua nikimfananisha Ali kiba kimuonekano na haiba ya mheshimiwa sana Jakaya Kikwete, kiasi cha kuona kua kama aanaonekana kama ni Mwanae wa kumzaa.
Nilimuangalia kwenye wimbo wa 'aje'...
:oops:
Wakati huo huo Soudy brown afuta ubuyu alioumwaga kuhusu mume wa Zamaradi aliyemuoa kwa kuhofia kibarua chake kuota nyasi. Wakat Zamaradi anaamin Soudy katumwa.
Mange kasemaa:D:D:D...
Naona watu wakibishana mala ooh diamond anafikisha views nyingi sababu kashirikisha msanii mwingine swali je huyu kiba si alifanya nyimbo na patoranking kwanini asifikishe views nyingi kama mond...
Huyu Mange ni shida. Akiamua kutumia uwanja wake kushambulia mtu yani ni shida. Juzi hapa Kiba alipotoa wimbo wake watu (akiwepo yeye) waliona kama ajabu vile kwa Kiba kufikisha views 1m kwa saa...
Apo chacha!!
Dada angu giggy money uko unapoelekea sasa si mahala pazuri,nakusihi badirika bado haujachelewa achana na huu upuuzi wa kuonyesha nyeti zako njee .
Tarehe 2/10/1989 Alizaliwa NASSEB ABDULLY JUMA a.k.a Diamond platumz simply unaweza muita Diamond! Kijana kafanya makubwa mengi ambayo hapa siwezi kuyasema kwasababu yanafahamika! kwa Lugha...
"UNTOLD BITTER TRUTH ABOUT 'HALLELUJAH' BY DIAMOND PLATINUMZ.
Karibu tuandike Within principles, Karibu to-unlock the locked story about "Hallelujah.
VIDEO.
This is unlock-truth about...
Ule wimbo ya Young Killer aliyomshirikisha Hamornize "Unaionaje" umepata dislikes nyingi saa kuliko likes
Hivyo Young killer amejitengenezea histora nchini, ndio msanii wa kwanza kupata dislikes...
hello
i have been a fan of chris breezy lkn nowdays naona jamaa cjui crack inamchanganya yani chris brown kwa ninavyom-respect sio mtu wa kupiga kolabo na fala kama kodak black kwenye ile nyimbo...
Tunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna.
Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa
Dr Kumbuka mwanaume anayechamba kama mwanamke, mwanaume huyu ni
Presenter wa Times Fm, anamaneno kuliko wanawake wa uswahilini, usoni kajipiga kitaulo (Mkorogo).
Michambo yake inafundisha zaidi...
Nimekuwa nikiangalia mambo yanayopositiwa kwenye ukurasa Wa instagram Wa Mama Diamond pamoja na Lugha inayotumika haviendani na Mama huyu hasa kwa umri wake!!! Sasa huwa najiuliza ni nani...
Wanajamvi leo picha za harusi ya Zamaradi Mketema aliyekuwa mpenzi wa Ruge bosi wa Clouds media akiolewa na bwana mwingine zimeenea mtandaoni.
Cha ajabu nimezungukia page za vijana wa kunyapia...
Aliyekuwa mpenzi wa Ney wa Mitego ambaye pia ni muigizaji wa filamu hapa nchini ,mwanadada Salma Jabu (Nisha)hatimaye afunguka hadharani kuwa anakesha akiomba usiku na mchana ili apate mume...
Kabla ya kutoa Zilipendwa alikuwa amemaliza kutoa nyimbo mbili Fire na Eneka ambazo hata hivo zilichukua siku chache kabla ya kuexpire.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba...
Torture numbers and they will confess to anything, Hatuwez kukubali kuwa victims wa numbers wala hatuwezi kuogopa numbers.
Kwenye Top100 hundred Songs duniani za Itunes charts East Africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.