Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu. Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti...
17 Reactions
149 Replies
18K Views
yaan kila nikisikiliza huu wimbo na mzuka alotumia namlaani aliye muua huyu lucky dube vile unawezaje kumuua mtoto wa dandu jaman unamuuaje michael jackson jamani watu hamna utu
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuna msemo unasema mafahari wawili wapiganao ziumiazo nyasi, huu msemo naufananisha na upinzani wa kimuziki uliopo baina ya wasanii wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva, nchini Tanzania, Alikiba na...
2 Reactions
21 Replies
53K Views
Nimekua nikimfananisha Ali kiba kimuonekano na haiba ya mheshimiwa sana Jakaya Kikwete, kiasi cha kuona kua kama aanaonekana kama ni Mwanae wa kumzaa. Nilimuangalia kwenye wimbo wa 'aje'...
4 Reactions
47 Replies
12K Views
:oops: Wakati huo huo Soudy brown afuta ubuyu alioumwaga kuhusu mume wa Zamaradi aliyemuoa kwa kuhofia kibarua chake kuota nyasi. Wakat Zamaradi anaamin Soudy katumwa. Mange kasemaa:D:D:D...
0 Reactions
234 Replies
34K Views
Naona watu wakibishana mala ooh diamond anafikisha views nyingi sababu kashirikisha msanii mwingine swali je huyu kiba si alifanya nyimbo na patoranking kwanini asifikishe views nyingi kama mond...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu Mange ni shida. Akiamua kutumia uwanja wake kushambulia mtu yani ni shida. Juzi hapa Kiba alipotoa wimbo wake watu (akiwepo yeye) waliona kama ajabu vile kwa Kiba kufikisha views 1m kwa saa...
4 Reactions
73 Replies
7K Views
Apo chacha!! Dada angu giggy money uko unapoelekea sasa si mahala pazuri,nakusihi badirika bado haujachelewa achana na huu upuuzi wa kuonyesha nyeti zako njee .
3 Reactions
116 Replies
33K Views
Tarehe 2/10/1989 Alizaliwa NASSEB ABDULLY JUMA a.k.a Diamond platumz simply unaweza muita Diamond! Kijana kafanya makubwa mengi ambayo hapa siwezi kuyasema kwasababu yanafahamika! kwa Lugha...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
"UNTOLD BITTER TRUTH ABOUT 'HALLELUJAH' BY DIAMOND PLATINUMZ. Karibu tuandike Within principles, Karibu to-unlock the locked story about "Hallelujah. VIDEO. This is unlock-truth about...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Ule wimbo ya Young Killer aliyomshirikisha Hamornize "Unaionaje" umepata dislikes nyingi saa kuliko likes Hivyo Young killer amejitengenezea histora nchini, ndio msanii wa kwanza kupata dislikes...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
hello i have been a fan of chris breezy lkn nowdays naona jamaa cjui crack inamchanganya yani chris brown kwa ninavyom-respect sio mtu wa kupiga kolabo na fala kama kodak black kwenye ile nyimbo...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Tunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna. Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa
1 Reactions
51 Replies
10K Views
Dr Kumbuka mwanaume anayechamba kama mwanamke, mwanaume huyu ni Presenter wa Times Fm, anamaneno kuliko wanawake wa uswahilini, usoni kajipiga kitaulo (Mkorogo). Michambo yake inafundisha zaidi...
3 Reactions
37 Replies
16K Views
Nimekuwa nikiangalia mambo yanayopositiwa kwenye ukurasa Wa instagram Wa Mama Diamond pamoja na Lugha inayotumika haviendani na Mama huyu hasa kwa umri wake!!! Sasa huwa najiuliza ni nani...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Wanajamvi leo picha za harusi ya Zamaradi Mketema aliyekuwa mpenzi wa Ruge bosi wa Clouds media akiolewa na bwana mwingine zimeenea mtandaoni. Cha ajabu nimezungukia page za vijana wa kunyapia...
12 Reactions
72 Replies
15K Views
Aliyekuwa mpenzi wa Ney wa Mitego ambaye pia ni muigizaji wa filamu hapa nchini ,mwanadada Salma Jabu (Nisha)hatimaye afunguka hadharani kuwa anakesha akiomba usiku na mchana ili apate mume...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kabla ya kutoa Zilipendwa alikuwa amemaliza kutoa nyimbo mbili Fire na Eneka ambazo hata hivo zilichukua siku chache kabla ya kuexpire. Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba...
6 Reactions
84 Replies
10K Views
Torture numbers and they will confess to anything, Hatuwez kukubali kuwa victims wa numbers wala hatuwezi kuogopa numbers. Kwenye Top100 hundred Songs duniani za Itunes charts East Africa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…