Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mafahali wawili ndani ya kiwanda cha muziki wa hip hop bongo, namzunguzia dogo janja na young killer msodoki, hivi karibuni wameingia kwenye vita ya maneno mitandaoni kisa kikidaiwa kuwa ni gari...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
LIZABETH Michael ‘Lulu’amefunguka kuwa anajivunia uamuzi wake wa kutojihusisha na siasa maana amepata amani ya moyo kuliko wasanii wenzake ambao kwa sasa wapo kwenye malumbano ya kisiasa. Mrembo...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Baada ya kuweka wazi mahusiano yake na tajiri mmoja wa Nigeria aishie Dubai, socialite maarufu East Africa Vera Sidika anaendelea kuwa gumzo kwenye social networks. Kwenye pita pita yangu...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Pamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko...
14 Reactions
143 Replies
29K Views
Msanii maarufu wa bongo movie, Wema Sepetu, Ameonywa kukaa mbali na msanii mwenzie Yobnesh Yusuph Maarufu kama Batuli, kwani mwanamke huyo ni moto wa kuotea mbali,unaambiwa bongo movie nzima...
7 Reactions
182 Replies
33K Views
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka kwa kudai kuwa ameshawahi kutoa mimba kadhaa lakini hajui ni ngapi. Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, akijibu swali la shabiki...
4 Reactions
64 Replies
13K Views
Kuna maswali yaliulizwa humu kuhusu mume wa makamu wa raisi ni nani yakajibiwa vizuri na uzi watu waliujadili hadi basi picha zikaonyweshwa za mumewe vizuri na majibu murua yakatolewa. Na mimi...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Khery Sameer Rajab a.k.a MR BLUE au KABAYSER ni moja wa Wanamuziki bora kabisa wa muda wote katika Muziki wa kizazi kipya. Tumeshuhudia Wasanii wengi wanaingia kwenye Game na kupotea lakini yeye...
13 Reactions
63 Replies
12K Views
Hawa watu ni ndugu wa Mondi. Je, atawawekea dhamana baada ya kuwa na tuhuma za ngada? Au atajiweka mbali ili asiharibu image yake? [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] ======...
5 Reactions
378 Replies
66K Views
Hii ndio picha ya wolper inayoongoza kupostiwa kwenye mitandao ya kijamii kama instagram na fb, picha hii inaonekana kuwavutia wengi zaidi ,salute zimfikie wolper wereva.... I phone 7 plus wereva...
4 Reactions
78 Replies
17K Views
The highest & the lowest za kiburudani na ubuyu kibongobongo kwa mwaka mzima wa 2016. Kwa kuwa tumefikia mwisho wa mwaka 2016 mimi kama mdau na shabiki mkubwa wa burudani na masuala yetu yale ya...
29 Reactions
133 Replies
12K Views
Ni wasanii waliokaa na wachumba muda mrefu bila kuwaoa.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MWANADAFADA mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa kwa sasa yupo tayari kuigiza nusu utupu kwa sinema za nje ya nchi. Akipiga stori mbili-tatu na kona hii, Batuli...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Ni takribani wiki nzima sasa nasikiliza wimbo mmoja tu,Upepo cover aliyoifanya Ray C. Baada ya kusikiliza version hii ya Ray C nikajaribu kusikiliza original version aliyofanya Rachel! Sikutumia...
29 Reactions
218 Replies
25K Views
Habarini Wakuu, Naomba kwa mwenye CV complete (wasifu) wa wanaoitwa Wanamuziki Maarufu Harmorapa na Gigy Money waweke hapa.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Watu wanajua kutumia pesa mjini, tunda usisahau kupanga kwako, nasikia unakaa kwa shoga ako davtor, mwenzio kapangiwa na daktari na wewe tafuta kwako bhana, sio kila siku unadandia nyumba za watu...
7 Reactions
69 Replies
20K Views
Humu kila kona utasikia sijui mie nimekaa Masaki sijui nimesoma Shebby...nadhani its about time sisi watu wa Uswazi tukajibu..mimi nadhani hii iwe yetu sisi watu wa Uswazi tukapeana nyeti tena kwa...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Ni kama vile tokea atoke Kolokoroni pale Central Police huyu Msanii TID amezidi kuwa ni kama Mtu aliyechanganyikiwa. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa sana interviews zake katika Media na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Anadai bado ana ndoto za kuwa mbunge na kilichomkwamisha ni Magufuli kupata asilimia chache za kura za urais ndio maana akashindwa, Magufuli angepata kura nyingi basi naye angekuwa mbunge wa viti...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…