Siku zote napenda kujifunza vitu vipya,nisivyovifahm kuhakikisha navifahamu.
na kwa kila hatua ya ufahamu ninayoipiga sisahau kumkumbuka Diamond,mtu ambaye siku zote amekuwa akinitia moyo na kuwa...
SIKU chache baada ya msanii wa kizazi kipya, Ali Kiba, kudai kuwa anamchukulia mwanamitindo Jokate Mwegelo kama rafiki yake, mrembo huyo ameibuka na kusema huenda aliteleza kutoa kauli hiyo...
Kuna watu walikua maarafu sana kwenye fani zao ila kuna matendo waliyafanya ya kizembe sana au ya kijinga mno ambayo yameharibu maisha yao au umaarufu wao, Tafadhali mtaje jina na uelezee...
Bwana mdogo anayekuja juu kwenye anga ya muziki anayetamba na ngoma yake ya usigawe pasi ambay
e pia anafananishwa kimuonekano na sura kwa mbali na mwanamuziki kutoka WCB ,Harmonize ,amedai kuwa...
UZINDUZI wa albamu ya saba ya mkongwe wa Muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura a.k.a Jide, iitwayo Woman utafanyika katika viwanja vya Jeshi vilivyopo Lugalo maarufu kama Golf Ground, jijini Dar...
Nilikuwa sijausikiliza wimbo wa mwanadada video queen wa Tanzania Amber Lulu. Dah kusema kweli nimeupenda kumbe ana sauti nzuri. Akikaza anweza toboa aise.
Hebu ucheki hapa unaitwa WATAKOMA.
Baada ya kuachana meneja wake amemnyang'anya gari Man Fongo baada ya kutofautiana
================================================
Shilawadu wamepenyeza taarifa za mkali wa Singeli afahamikae...
Msanii mchekeshaji Steven Nyerere ameendelea kum diss TID kwa kusema ni mtu ambaye wakati wake umepita na pia hajielewi na hawezi kujifananisha naye
Amedai msanii huyo anaishi kwao na amekuwa...
Actor, producer, songwriter na rapper Will Smith wa Marekani ametua nchini Tanzania kutalii.
Magazeti na wanahabari wa kwa luninga etc mnatia aibu nchi yetu. (kama ulionyesha or kuandika hata...
Bwana apewe sifa.
Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na...
Leo siku ya jumatatu imekuwa ikisubiliwa kwa hamu na mafansi wa WCB Wasafi, hususani wale wa harmo,kutokana na kuahidiwa ngoma mpya kutoka kwa harmonize ambaye ngoma yake binafsi ya mwisho ilitoka...
Katika hali ya kushangaza kabisa, mshiriki wa Shindano la Bongo Star Search (BSS) 2008, Abubakar Mzuri, amepelekwa katika kituo cha udhibiti wa matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’ cha Pilli...
Mwigizaji na mrembo wa taji la Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu amedai anapokea vitisho vya kupotezwa kama ataendelea na msimamo wake wakuitumukia Chadema
Kwa upande wake Wema amesema hatishwi ana...
Habarini Wadau,
Katika Tasnia ya Muziki wa hapa nchini, kuna Wasanii pamoja na kuwepo katika industry hii wamejitahidi sana kutokuhusishwa na skendo za kuwachafua hovyo hovyo.
Hata pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.