Nimeona interview ya clouds tv na mzee platnumz, kweli jamaa kachoka. Huyu ni baba yake na mwanamuziki matata nchini Diamond Platnumz.
Kama alikukosea wewe na mama yako, mbona ameshasema...
M
wanamuziki Harmonize_tz ambaye anafanya kazi chini ya lebo ya @DiamondOlatnumz WCB( wasafi)ameachia video ya wimbo wake mpya@Niambiei ambayo amemtumia mwigizani na mpenzi wake,Jacklin Wolper...
Whitney Houston, superstar of records, films, dies
By NEKESA MUMBI MOODY, AP Music Writer – 4 minutes ago
LOS ANGELES (AP) - Whitney Houston, who reigned as pop music's queen until...
Baada ya kusaidiwa kwenye nyimbo yake ya kiboko ya mabishoo na mkongwe Huyo, Harmorapa ameanza kumpiga vijembe juma nature
Msanii Harmorapa amewaomba wasanii wakubwa waliopo kwenye 'game' ya...
Nimekuwa shabiki mkubwa wa alikiba Kwa kipindi kirefu ila Kwa huu ulofa anao ufanya sasa sina budi kuomba rasmi kujiunga team wasafi
Lakin pia nitumie fursa hii kumuomba radhi CEO wa wasafi Ndugu...
Ilianza Hivi:
Teamukwelinauwazi
3 days ago
Huyu Lemutuzi nae ni mbulula wa kwanza Tanzania kama wewe kweli hawa ni superfriends zako unashindwaje sasa kuwaweka chini ukaongea nao na ukajua...
Nilikua naangalia angalia video za wasanii wa Tanzania sasa nikakutana na AJE REMIX,sikuwai kuiangalia vizuri.
Sasa napepesa pepesa macho nimuone MI wapi,sikutani nae! Kilichonishangaza ni kwamba...
Majibizano ya matusi yazuka kati ya msanii wa hiphop Godzilla na mtangazaji wa Clouds Fm,Diva ambae kwa sasa ana mahusiano na msanii heri muziki.
Pitia hapa
www.twitter.com/king_zillah na...
HATIMAYE kwa mara ya kwanza Harmonize ameamua kufunguka kuhusu pacha tajwa ambaye ametokea kujizolea jina.
Harmonize amesema haya:
“Mara ya kwanza nilipomsikia, nilijiskia vibaya sana...
Harmorapa si wa mchezo mchezo, jina lake lawashtua MTV Base ya Afrika Kusini. Time ya HarmoRapa kwenye Game muda huu “Kiboko ya Mabishoo” imekuwa moto kwelikweli.
Kama ulikuwa ufahamu ukiaachana...
(from hotnewhiphop)
Nas has eyes for Nicki Minaj and she's not saying no, reports say.
When "shETHER" was taken off the airwaves, rumors abounded that Nas was angry Remy Ma hadn't ask permission...
Jana katika kipindi cha Ubaoni Efm watangazaji wa kipindi hiki bila kuona aibu waliwaambia Chege na Temba waache musiki wakauza Pweza kusema ukweli niliwashangaa sana na kuwadharau hivi kuna...
Akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds, Diamond Plutnumz amesema hana ugomvi na alikiba na anamfahamu Ali hata kabla ya mziki na yeye alishawahi kusaidiwa na Ali Kiba kuhusu masuala kadhaa.
Amesema...
Msanii Temba akizungumzia kisa cha kutotoa kazi mpya za muziki kwa muda mrefu amedai kuna biashara ya magari aliyokuwa akifanya na rafiki yake na kulikuwa na fedha kiasi cha karibia milioni 100...
Msanii wa vichekesho Idris Sultan amefunguka kwa kudai kuwa uhusika aliouvaa ndani ya filamu ya ‘Kiumeni’ ya Ernest Napoleon ni vitu ambavyo viliwahi kumtokea katika maisha yake.
Filamu hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.