Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Mwenye picha ya Sudi Brown please aiweke hapa,nahitaji kumfahamu.
0 Reactions
289 Replies
139K Views
Hatimae muda umewadia wa kumjua baba halisi wa mtoto wa Frola Mbasha Baadhi ya matukio ya nyuma .......... >>> MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA http://youtu.be/fUAGeSf63Ps >>>BABA...
6 Reactions
392 Replies
92K Views
Mwimbaji Emmanuel Mbasha anadai Flora alimfungulia kesi mahakamani mara tatu akataka ampe talaka lakini Mbasha akamshinda kwenye kesi hizo lakini Flora akaendele kufungua tu kesi kwenye mahakama...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Familia ya Mbasha inaendelea kutengeneza vichwa vya habari. Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa...
2 Reactions
47 Replies
15K Views
Msanii wa kizazi kipya mwenye rekodi ya kupatwa na misuko suko ya madwa ya kulevya amepata nafuu na sasa ameingia studio kutoa ngoma aliyomshirikisha Mr Blue na Matonya kabla ya kuumwa, na sasa...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
ASKOFU Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema yeye si tajiri kama inavyodhaniwa, bali alichonacho ikiwa ni pamoja na nyumba, magari na helikopta ni baraka tu za Mungu, lakini kama...
0 Reactions
185 Replies
28K Views
Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi maarufu kama harmorapa leo amemtembelea P funk offisini kwake bongo records kwa mwaliko maalum kujadili mambo ya musiki. Akihojiwa katika kipindi cha amplifaya...
3 Reactions
74 Replies
10K Views
Baada ya kushikiliwa na polisi kwa takriban siku 4, Vanessa Mdee ameachiwa kwa dhamana Jumatatu hii. Vanessa ambaye alishikiliwa muda mfupi baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini ni miongoni mwa...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
instagram huyu mdada ana followers zaidi ya Million 92
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jackiline Wolper na Harmonize wamerudiana na wamefanya interview clouds radio kwenye XXL, wamedai kulikuwa na misunderstanding ila sasa wamerekebisha Harmonize anadai kuna nyimbo amefganya video...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Eeh ila wambea nimewavulia kofia, wiki kadhaa nilisikia makelele kuwa diva katimuliwa clouds ,diva mwenyewe akatoa mchambo wa haja kukanusha,kumbe kweli bibie kitumbua kimeingia mchanga,looh...
6 Reactions
59 Replies
22K Views
Mtangazaji wa EATV ambaye anahoji ma celebrities alikuwa akimhoji Idris Sultan basi iDris akamchana ya kuwa ana maswali ya kukera mno, ni yule anayehoji watu kwenye kipindi cha E newz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwenye kipindi cha planet bongo watangazaji wa Dullar na juma junior wametokwa na povu baada kusikia kauli ya diamond aliosema sasa hivi akitoa nyimbo hategemei radio na TV pekee kusambaza mziki...
11 Reactions
158 Replies
24K Views
Magufuli akiwakaribisha wasanii kwenye mkutano wa CCM Dodoma aliwasifu kuwa ni wasanii wazuri na sio kama yule mwingine aliyehamia upande wa pili
0 Reactions
122 Replies
19K Views
HARMORAPA,rapa anayetikisa soko la mziki barani Afrika na vibao vyake kadhaa kama UTHIGAWE PATHI na vingine vingi vinavyopigwa na vituo mbalimbali vya kimataifa amejikuta anaingia kwenye migogoro...
18 Reactions
50 Replies
9K Views
jamaa kajitahidi kuvumilia kutoka mwanza mpaka WCB
3 Reactions
57 Replies
9K Views
Lile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu. Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa...
15 Reactions
233 Replies
33K Views
na fedha TZS 2m. Gari aliloonyeshwa siku ya shindano hakulichukua. ================================================ Dar es Salaam. Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Baraza la...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Sababu Alizo toa Boss wa WCB kuhusu ugumu wa kudownload music kutoka kwenye website yao haina mashiko kwani ilitakiwa wafanye pre testing kwanza kabla ya kuingia sokoni.Mpaka hivi sasa bado...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom