Msanii machachari anaekuja juu, Hamorapa leo alijitokeza uwanja wa ndege kumpokea Kiba akirejea toka kwenye ziara yake ya South Africa.
===========
Video
Nakuona mama D Katika ubora wako, hutaki shida mwenzangu,swimming ya mwanao kwa nini usijiachie?, ebu wakutue mama wa watu,endelea kula bata mwaego, ila zari umemuomba ruhusa? Anajua? Maana...
Mi nauliza swali jamani, hivi hawa wasanii wetu wa kike ndio kusema Mungu kawapendelea au? Maana karibia wote wana shepu hawana matumbo mpaka nashangaa au kuna vitu wanatumia hawa?.
Jana katikati homecoming ya Ali Kiba Harmorappa alitua JK Nyerere na chama lake kumkaribisha Ali Kiba nyumbani...Huku amechapia tishet ya KIBA ADDICT aliweka wazi kuwa yupo hapo sio kwa team Ila...
Huko nyuma miaka kadhaa Msanii TID alimpiga Msanii mwenzie Ray C hasa baada ya Ray C kusema mubashara kuwa TID anatumia dawa za Kulevya na akamtaka aachane nayo.
Kilichotokea ni kwamba TID...
Nyota wa Bongo flava TID amezidi kumchana Steve Nyerere baada ya Steve kumuita mpumbavu aliyehongwa na kuandikiwa speech aliyoongea kwenye mkutano wa Makonda
TID amesema Nyerere amemhatarishia...
Mmh!! Uwoya siku hizi unapenda sana kiki,yani hupitwi
Katika maisha siku zote ushauri unaruhusiwa kutolewa au kupokelewa... Lakin sio lazima mtu kupokea ushauri unaotolewa... Kila mtu anauhuru...
Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.
Tazama video...
Wasanii Bongo Movies Wampinga Wema...
ni hoteli aliyofanyiwa press na waandishi wa habari hoteli wanadai wanampigia ila hapokei simu, pia amesema yeye na wema wapo vizuri tena wanaweza kulala pamoja
Wakati sakata la audio inayosemekana ni mazungumzo baina ya mtu anayesadikiwa kuwa steve nyerere na mama wa wema sepetu kuvuja, Video queen maarufu nchini, Anna Patrick maarufu kama Tunda amemjia...
go low ni bonge langoma na video yake imesimama yani ni good music aisee.tukiendelea hivi tz tutafika mbali zaidi.......keep it up guys
===========================================
Yawezekana wengi tulikuwa tunajiuliza kwa nini Diamond Platinumz kauweka wimbo wake wa Marry You kwenye Youtube Channel mpya kabisa ya DiamondPlatnumzVEVO badala ile tuliyoizoea ambayo ipo...
Wanamuziki Ally Kiba na Diamond Platnumz ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya watu 10 wa kusaidia maandalizi ya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania 'Serengeti Boys'<Akitangaza kamati hiyo...
aada ya kufanya ziara yenye mafanikio nchini Afrika Kusini, Alikiba anatarajiwa kutua Dar es Salaam, Jumanne hii.
Kiba na timu yake watatua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius...
Huu ni mwezi mbaya kwa mchekeshaji Steve Nyerere. Ni kwasababu kauli zake zimeendelea kumponza.
Hivi karibuni, kwenye mazungumzo yaliyovuja kati yake na mama yake na Wema Sepetu, alidai kuwa...
Baada ya picha kuzagaa mitandaoni kuhusu shutuma dhidi ya mwanamama kutoka Uganda, zari hassan, ambaye pia ni mpenzi wa mwanamuziki wa msanii diamond platnums, zikimfananisha mtoto huyo wa diamond...
Wadau weekend inaendaje!!
Nilikuwa najipumzisha kwa kuchek planet bongo EATV na kuona jinsi walivyopendeza Izzo na uyo Dada wa USA.
Na kwamba Izzo ameonesha kijana wa hekima sana kwa...
Ni muda sasa umepita huku kila mtu akiendelea kucheki haya mapenzi ya Staa wa Bongo na huju Jimama Zari. Kimsingi mimi naona kama wanatuactia tu na kiundani ni kuwa hakuna mapenzi yoyote kati yao...
Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia...
Msanii TID amepanga kumfikisha msanii mwenzake Steven Nyerere mahakamani akimtuhumu kumchafua kuwa amepewa hela na Makonda kwenye clip iliyosambaa mitandaoni