Nyota wa Africa diamond platnumz ameweka record mpya kwenye mziki wake baada ya kuingia 20 ya wasanii wapya nchini marekani kwa video take ya marry you kupitia mtandao wa Vevo
Video ya marry you...
Ni muda mrefu nimekuwa nikimsikia akijinasibu kama mchekeshaji maarufu hapa nchini, na kwa kuwa mimi siyo mfuatiliaji wa movie za kibongo pamoja na hao wanaojiita wachekeshaji hata sikuwahi...
Lulu ina maana hizo pimples kwa shemela wetu huzioni au wewe unaangalia pochi tu? Ebu angalia uso wa shemela ulivyokuwa na chunusi kama embe ng'ong'o, ukikutana nae usiku unaweza kukimbia halafu...
Huyu Dada apart from being a former miss Tanzania 2006 haijulikani ni shughuli gani anayoifanya kwakweli.
Nimepitia profile ya page yake ya Instagram naona kaandika yey e ni actress ila so far...
Wadau, ni hivi majuzi tu mdada mwenye skendo zisizoisha Wema Sepetu alisherehekea birthday yake kutimiza miaka 26. Ni birthday iliyoacha gumzo na kwa upande mwingine maswali kibao hasa ukizingatia...
Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa...
Ndugu zangu nina maswali najiuliza juu ya hii saga ya huyu nyota Wema Sepetu kukutwa na msokoto wa bangi.
Nakumbuka kuwa Wema aliitwa kituoni kujibu tuhuma zake za kuhusishwa na madawa ya...
Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema kuwa ana mpango wa kuwa Mchungaji pamoja na kumiliki kanisa lake yeye mwenyewe siku za usoni na kwamba anamuomba Mungu kila siku aweze kutimiza ndoto hizo...
Nimeona kuna kila dalili zote za Wema Sepetu kwenda CHADEMA... Wema nimekuwa fan wako kwa muda mrefu sana, nakupenda sana na hata ningependa uwe mke wangu sema ndio hivyo tu.... Naomba nikupe...
ALI KIBA STUDIO, AY MUZIKI, DIAMOND BIASHARA STUDIO MUZIKI
Wimbo Marry You ambao Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameimba na fundi wa sauti na kucheza kutoka Marekani, Shaffer Chimere Smith...
Kabla sijatizama Top 5 Season huwaga napenda kusindikizwa na Top 5 Music kama ifuatavyo.
5.Dear Mama-Tupac
4.I will always love you-Whitney Houston
3.I want marry you-Diamond Platnumz
2.Ntampata...
Mwanadada Wema Sepenga ameonesha kwa namna moja ama nyingine kuamishia majeshi Chadema mara baada ya kuona huko alikokuwa mwanzoni (CCM)alikuwa hayupo sehemu sahihi.
Kwa uonesha msisistizo zaidi...
Huu mchezo nilihisi tunaushabikia tuu sie waTanzania kwa wasanii wetu tena nilihisi ni ushindani kati ya timu mbili zisizokuwa na uwanja yaani Team Diamond a Team Alikiba ila nimeshangaa kuona...
Za usiku wapendwa wa humu!
Mda si mrefu Gadner na Kibonde walikua wanamfanyia mahojiano mtangazaji wa clouds kipindi cha take one Zamaradi..
Kiukweli naomba nimsifu kwa kujitahidi kukitendea...
Aje ni nyimbo iliyoimbwa na msanii legendary katika mziki wa bongo flavour, Alikiba (kingkiba.)
hii nyimbo ina zaidi ya miezi tisa tangu ilipotoka, kama zilivyo nyimbo za alikiba zinapotoka huwa...
Ushauri T.O.T ipewe kipaumbele maana ina mchango mkubwa sana kwenye chama tawala CCM maana ndo band rasmi ya ccm inayopigana kufa na kupona kuwezesha chama kuendelea kushika madaraka kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.