Orodha hii ni ya wasanii wa tz na africa mashariki waliowaacha mashabiki bado wakiwa na kiu na kuwakubali pia kwa kazi zao
1.Ferooz mrisho
2.Jay mo
3.Red sun(kenya)
4.mr blue
5.Inspector haron...
Bila kuwachosha naomba mnitatulie huu ubishi, kuwa wapi kuna ahueni kwa MTU kukosea maswali mawili ya necta pale form four, au kukosea kuoa/kuolewa.Eti wapi kina afadhali hapo.
Ukiniambia nitaje list ya wasanii 10 bora wa HIPHOP Bongo tokea mziki huu uingie nchini nitakupangia list kama ifuatavyo;
1. PROFESA JAY
2. SUGU
3. SOLOTHANG
4. JAY MOE
5. FID Q
6. AFANDE SELE
7...
Akiongea kupitia Radio One, Kijana huyu amesema ameshaanza ujenzi wa kanisa hilo ambalo moja ya taratibu zake ni waumini kutotoa sadaka. Ni kuabudu tu!
Kweli, Nyakati za mwisho wengi wataangamia...
LEO ndo kwa mara ya kwanza Tv E wanarusha matangazo ya moja kwa moja toka Show ya mchizi wangu mwembe yanga Temeke.....wajuzi tuwape pongezi zao na ushauri jinsi ya kujirekebisha na kuboresha...
Alikuwa akihojiwa kipindi cha Planet Bongo,
amezungumzia mambo mengi ikiwemo bifu za wasanii, kutoa albamu, alivyoanza mapenzi .
Amedai bifu zinauwa ni nzuri sababu zinachangamsha muziki, alianza...
Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila...
Miezi kadhaa imepita tangu msanii darassa aachie hit song ya muziki ft ben pol,tofauti na tulivyozoea ngoma mfululizo naona darassa katulia sijui ndio muziki bado ina hit au kaishiwa.
Habarini za wikiend wadau.
Kama mnavyojua tena leo ndio ule usiku mubashara usiku wa shoo kali ya kiaina yake na ya kipekee shoo ya karne. LOVE, MELODIES and LIGHTS
Kwa wale wa mjini...
Hatimaye Alikiba amekabidhiwa tuzo yake ya MTV EMA – Best African Act aliyoshinda mwaka jana.
Staa huyo wa Aje amekabidhiwa tuzo hiyo nchini Afrika Kusini alikoenda kwaajili ya ziara yake ya...
Leo nimetokea kuwakumbuka members wawili wa ECT iliyokuwa ikiundwa na AY, FA, GK, SNARE NA PAULINE ZONGO wazee wa upanga east wako wapi snare na pauline zongo?!
Nimeikumbuka sana ngoma ya snare...
Wasalaam wana jamvi.
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kudate na mwanaume ambaye hajui kuongea kingereza kwa kuwa yeye katika...
Ñimebahatik kuisikia nyimbo yake mpya kijuso ukweli uwezo wa huyu dada ni mdogo na nyimbo yake yakawaida
Ila naomba tumsupport kwa kuwa ni mwanamke wa kwanz kutok wcb tusimkatishe tamaa
Baada ya kufanya vizuri na hit songs kadhaa zilizompelekea kufanya shows nyingi hatimaye mkali huyo wa kujiamini katika game ya Bongo Flava Elibariki Munisi maarufu kama Nay wa Mitego ameyaweka...
Nashindwa kuelewa kwanini MAULID KITENGE anapenda kufanya matangazo na kidude masikioni(blue tooth receiver) huo ni ulemavu au ushamba... Au ndo identity yake!!!
Za chini kwa chini tunaambiwa kuna producer wa Filamu Bongo anataka kuwakutanisha Zari na Wema Sepetu katika movie moja matata na yupo tayari kuwapa mkwanja watakaohitaji kupitia sponsor but...
Ni juzi tu umetoka polisi kwa kesi ya madawa ya kulevya, na video clip yako imeonekana kwenye mitandao kiukweli kutokana na ulivyoongea ni dhahiri kuwa umejifunza kitu,umeongea kwa hisia na kwa...
Baada ya fununu na malalamiko mengi hatimaye Diamond nae kaitwa kutoa maelezo polisi.
Hata hivyo,bado haijafahamika kaitwa kwa tuhuma gani.
Tetesi ni kwa kosa la kuendesha gari huku akicheza...
Kati ya wasanii (wanaodaiwa 'kula unga') ambao huwa nikiwaona walivyopungua na kupoteza mwili mzuri waliokuwa nao hapo awali ni Chid Benz.
Je, kuna ambae kwa upande wako anakusikitisha?
Msanii wa bongo movie Wastara amemchana mpenzi wake wa sasa Bond kwamba asipojirekebisha baadhi ya tabia zake atamuacha na akimwacha hatarudi tena kwake.
Hata hivyo Wastara amesema anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.