Msanii Kala Pina akihojiwa na E News ya EATV amesema ametumia fedha nyingi sana kumsaidia Chid Benz ila anasikitika juhudi zake hazijazaa matunda na kusema angepata msaada zaidi angefanikiwa...
Msanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia...
Wakuu hivi ni kwa nini wanamuziki wa kizazi hiki hawavai uhusika wa mwanamke kulinganisha na wanamuziki wa miaka ya 90?
Tuchukulie baadhi kama Sam mapangala, mbaraka mwishehe nk ni kawaida sana...
Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya, Erick Omondi ijumaa iliyopita ya tarehe 10 alifunguka jinsi Diamond alivyomsaidia kupenya kwenye soko la Tanzania.
Omondi anasema kwa mara ya kwanza...
Akihojiwa na kituo maarufu cha radio mjini, staa na mpenzi wa mwanamuziki maarufu nchini Diamond Platinumz, Zarinah Hassan, amesema kuwa hakuna kilichomvutia kwa mwanamuziki huyo ila wamejikuta tu...
Baada ya kufanikiwa kulinyakua taji la Miss Tanzania 2016/2017 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kumtafuta mrembo wa dunia huko nchini Marekani mwishoni mwa mwaka jana, mrembo Diana...
Fid Q
WIMBO unaokuwa mzuri na umekamilika kuanzia sauti, uimbaji, utayarishaji na ikiwezekana video nzuri ni rahisi kutamba, lakini katika dunia ya sasa kuna vigezo vya ziada vimekuwa...
Msanii wa mziki wa kizazi kipya NAY WAMITEGO amesema kuwa yeye yuko mbiyoni na wazo la siku za usoni, kujenga kanisa nakulimiliki yeye mwenyewe .
Alipoulizwa sababu ya kujenga kanisa msanii huyo...
Leo Makonda alimtaja mtu mmoja na kusema amkute polisi leo hii.
Hope atakuwa ni PAPA sana. Jina ametaja "Chidd Mapenzi".
Huyu ni nani? Wanaomjua watusaidie file lake tafadhali.
Anaishi wapi? N.k.
Pole baba tamari,inabidi urudi kwa maxi uombe msamaha akununulie I phone nyingine, ila nina mashaka kweli kma ulikua studio huo usiku wa manane, kama kweli nakupa pole maana unajisumbua bure hip...
Habarini wadau wa jukwaa la celeb.
Leo imeamua kumleta kwenu kijana kutoka zanzibar, anaeitwa Sultan King, ni msanii wa miondoko ya bongo flavor/zenji flavor, huyu siwezi kusema ni underground...
Lile bifu la muda mrefu kati ya zari na wifi yake Esma limefikia tamati katika arobaini ya mtoto wa diamond aitwaye nillan ,ambapo wawili hao walionekana wakicheza kwa pamoja na kupiga picha na...
Katik hali ambayo wengi hawakutarajia.....Adele alionekana Akiikataa tuzo Ya Album bora ya Mwaka ya Grammy ambayo alipewa na Kusema kuwa tuzo hiyo alistahili kuichukua Beyonce!
Adele...
kuna bifu kali linaendelea la hatari kati ya ma celebrities wawili walioko under 25 years of age,yaani mvulana mmoja aitwaye le akili kubwaz na age mate wake msichana aitwaye lulu.
Updates...
Nimemsikia kamanda Sirro kupitia E fm akisema wanawashikilia baadhi ya wasanii ambao watapandishwa kizimbani leo.Je Aggy ni miongoni mwao?naelekea kisutu nitawajuza lakini lengo nataka nikamwone...
Akihojiwa kipindi cha FNL mwanadada Ray C anadai madawa ya kulevya yalikuwa yamtoe uhai, pia ametoa ushauri kuwa waathirika wasifungwe kwa kuwa kuwafunga hakuwasaidii bure na kupendekeza serikali...
Wiki hii Habari ya Mjini ni Mombasa Rock Festival, Tamasha hilo limegharimu kiasi cha shilingi milioni mia mbili za kenya (2,000, 000ksh) Zikiwemo Gharama za kuwalipa wasanii, malazi, usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.